DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Wehuu hawa!kwa sababu ya avator yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wehuu hawa!kwa sababu ya avator yako
aiseee hahaaa..jf bhanaaSasa unataka uringe mwanaume si utaitwa shoga.
Mambo ya ule Uzi Ni ajali kazini Ila fursa tuachie maana humu kila mtu ana kakupo kakeUle uzi wa spies ulikupita ee,mie nawalinda,wewe unasingizia nawazibia fursa
Kuna utaalamu ntakufundisha zaidiasante Evelyn lkn tayari nimeshafunzwa,
ngoja labda nichukue mazoezi nikufate ww PM [emoji1][emoji1][emoji1] nizidi kuielewaa
Hivi upo kweli huonekani siku hzikwi kwi kwi kwi kwi p
Mambo ya ule Uzi Ni ajali kazini Ila fursa tuachie maana humu kila mtu ana kakupo kake
Watu wanasema wanataka kuniona full wamechoka na passport haya Kazi kwakoKuja hapa na huyo avatar yako Leo imenifanya nimekuja pm
sio wehu,, huo mtakko mwenyewe kuna siku niliandika pm sema nikashtuka nikaifuta kabla.. manake hips tamu kama za Mzigua90Wehuu hawa!
Ewaaaa 10mnts tutakua uvunguni tumejificha6.7924° S, 39.2083° E nimewasha gps
Mhh kwanini[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] safi sana rafiki. Ukiona hivyo basi jua kwa asilimia zote na wewe unajielewa rafiki.
Hili ni funzo kwa wale wanaoleta maneno machafu kwenye PM za wenzao ili wajue wapo wanaojielewa na wastaarab wengi tu na wanakwenda na kupokelewa pia.
Mie Pia namshukuru Mwenyezi Mungu sijawahi kukaa na kuijutia Pm yangu. Hahaaaaa.
Hapo heri niwe kichaa tuWewe inapendeza ukiwa single kama le mubebez
ndio. sasa babe?Ko umemlipizia?
Nimekutumia pm zaidi ya message 51 Ila naona kimyaWatu wanasema wanataka kuniona full wamechoka na passport haya Kazi kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliowafuata Pm
Evelyn Salt huyu anaringa kama anakunya keki hadi akawa hanijibu nikamuuliza yaani hadi mimi
alichonijibu sasa
espy huyu nilifanikiwa
Madame B huyu nilifanikiwa
Mama Sabrina ananijibu kwa mkato
Mzigua90 nahisi mimi ndio ananifungulia thread humu
Sky Eclat huyu anamuachiaga mumewe achati na mimi
miss chagga yaani salamu tu naambiwa nitume hela ya vocha kwanza
nitaendelea
Ndo kaz yake jf kutongoza wake za watuCc inna
SAA 3 asubuhi (mambo shunie)Kuna raha gani sasa huko pm zaidi ya kuja kusalimiwa tu kwa siku hata mara 10 mtu akitoka akija ye salaam tu