Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Kiss me. Hug me. Love me. The same quantity of those sweetest things I will return as soon as possible. Happy Valentine’s Day my prince charming!
 
Ha ha ha ha nasubiri wale walikuwa PM ya Loeli wakati anatafuta partner!!!!!! Zilijaa PM balaaa ila msimamo waliouona!!!!! Karibuni mtoe ushuhuda.
 
Ha ha ha ha nasubiri wale walikuwa PM ya Loeli wakati anatafuta partner!!!!!! Zilijaa PM balaaa ila msimamo waliouona!!!!! Karibuni mtoe ushuhuda.
Hadithia kidogo basi walikuwa na swaga zipi
 
Popobawa ni mambo ya Tandale kukomoana, mbona Masaki hazivumi hizo makitu ni Mbagala, Vingunguti, Manzese etc. Kule sehemu zile zilizokosa utukufu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hadithia kidogo basi walikuwa na swaga zipi
Ngoja waje watasema maana wengine mpaka walinialika five star hotel tukaongee!!! Shida ukimzunguka kidogo ukimtwanga maswali ya msingi majibu yanakuwa tata unajua tu kuwa hapa ninataka niingizwe chaka tu!!! Ukweli PM kuna mambo mengi sema kwa sheria za JF hatutakiwi kuweka hadharani yale mnayochat ila kwa kweli yanavutia sana na kuondoa stress!!!!
 
Back
Top Bottom