Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Poa mkuu. Karibu.Harakati ni vipi...nikija njini tutafutane asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu. Karibu.Harakati ni vipi...nikija njini tutafutane asee
Amen to That!Hutajuta
Utakua mtamu sana weyeUanze tu kunipeleka hapo. Halafu mimi hata sina gharama glass 4 tu za cosmopolitan zinanitosha.
Ombi lako lilitekelezwa?nimeitumia pm mara moja tu kwa ajili ya kuwaomba mods wanijumuishe kwenye jukwaa la dini nk basi!
Nishakaribia siku nyingi sanawakaribishwa
Kwanini mkuu?Utakua mtamu sana weye
Natabiri tuKwanini mkuu?
Mkuu wengine wanapima iq kwa kingeleza yani ukikijua tu umeshinda ha ha haaaniliingia PM moja hiyooo....unaambiwa no kidhungu no service mpaka leo naziogopa pm
Noma sana na ni wengi sana asaiviPole sana.
Mimi Pm siku hizi nipo nayo makini sana sababu ya double ID mtu unachat nae kwa ID hii halaf anakuja na ID yake ya pili kukuchora....[emoji35] [emoji35]
Pole mkuu ulichelewaPM zote ambazo nilipanga kuwasumbua nimekuta zimefungwa saivi napita mbali sana
Unaruhusiwa kunena ulivyosumbuliwa bila kumtaja mhusika itavutia piaHaya mjitaje kwa herufi Kubwa
Tamani wadada waseme ili cheke aisee pm kutam hafu kuna tishaSema pm kuna mengi. Kuna mtu hata usimpojibu atakuja tena kesho na kesho kutwa. Kuna mmoja huyo alinisalimia siku ya kwanza nikarespond. Baadae nikaacha kumjibu msg zake alichoniandikia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Eti bahati yako nilitaka nikutie kama nilivyomtia ......... mpaka akaumwa. Akasema alimtia siku mbili. Nilichekaa hadi nikamjibu tu ili anielezee huyo member walitiana vipi. Akasema we muulize tu anaujia mziki wangu. Pm kuna vichaa wengi sana
Ndio maana nikasema tulimalizana kijanja. Ila hatukurudia tena.Ulimfanya matusi?
Elezea walivyokusumbuaMademu ndiyo wananitafuta mm DM sema wengine nawapotezea...
Pm napaogopa sana mkuu otherwise watu tutumiane picha kwanza.Faida ya kutongoza hiyo.
sijaonaUmeiona PM yangu?nmekuPM
Demu?nimetoka kumsumbua mtu mmoja hapa sasa hivi anaitwa nayer6