Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena
Unalijua lengo la kuja huko?
 
Sasa wote mliochangia thread Hii naomba mnipm na Mimi nipate experience, sijawahi kuingia pm. Ke peke yake, usiweke namba ya simu pia.
 
Back
Top Bottom