Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Karibu sana.

Naamini kumbe kuna wanaofuatwa nilijua utani ke hahusiki kufata
Mimi kati ya PM nilizonazo ambazo ni za KE wao ndio wamenifuata na ninachat nao kwa wema kabisa, ninapiga nao story vizuri sana na kufurahi kwa pamoja.

Wapo hawana subiri wanakuna pupa kufuata wenzio PM matokeo yake wanaishia kujibiwa hovyo kulingana na gia aliyoingia nayo, ila ukiingia taratibu mtaelewana vizuri tu bila shida yoyote.

Kingine inachowaboa watu, mtu akiingia PM anakuwa na haraka ya kutaka kumjua mtu kwa undani zaidi na kuomba namba ya simu hapo hapo, kitendo ambacho kinapelekea PM kuvunjika mapema.
 
Cause all of me loves all of you. Love your curves and all your edges, all your perfect imperfections.
Im not pretending.
Now im at the point of no hiding my feelings anymore.
Lets give time some time.
Hem nihabarishe huko pm ni maigizo au inakua kwelikweli?

Vigizo vyake pia mana isijekua ndo sababu hamna fukara humu
 
Kule kwa wanyamwezi kuna dawa wanaita kiasali aiseee usiombe ukutane na mwanamke kakipaka hiko ukaja kupitisha ubor wako pale hasa juuu juuu pale ukalipalaza bichwa praaaaa praaaaa!
 
Mipaka ni lazima. Kuna mijitu haina akili inataka urafiki nje ya jf ukiikaribisha lazima wakuharibie..utasikia mlio wa msg saa 8 usiku...i miss u. Wajinga kabisa! Mimi urafiki na mwanaume nje ya jf siufagilii hata kidogo. Wengi ni under 20, zero brain!
Hii ni kwa wahenga tu
 
Me kwakweli pm kuna watu ni wasumbufu mnooo yaan mno halaf sana maswali ya kijinga kama police na wanasalimia mnooo yaan kwa siku utasalimiwa hata mara 10
Yaonyesha mnashambuliwa kama sinia la ubwabwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilitaka kuja kwako nimegairi.
 
Mimi kati ya PM nilizonazo ambazo ni za KE wao ndio wamenifuata na ninachat nao kwa wema kabisa, ninapiga nao story vizuri sana na kufurahi kwa pamoja.

Wapo hawana subiri wanakuna pupa kufuata wenzio PM matokeo yake wanaishia kujibiwa hovyo kulingana na gia aliyoingia nayo, ila ukiingia taratibu mtaelewana vizuri tu bila shida yoyote.

Kingine inachowaboa watu, mtu akiingia PM anakuwa na haraka ya kutaka kumjua mtu kwa undani zaidi na kuomba namba ya simu hapo hapo, kitendo ambacho kinapelekea PM kuvunjika mapema.
Waooooh

Watu wanakimbilia kuuuliza kazi

Unaishi wapi

Una mpenzi

Una miaka mingapi

Unakaaa na nan

Una watoto

Nitumie pichaaaa

Maswali yote ili upate nn?

Chamdeko
54a47d4cb083b7c06ed34f0ca357524c.jpg
 
Wanawake kweli hamueleweki....tukija kwa pozi salamu mara tatu kwa siku mnatuponda! Tukija direct 'nataka niku.....mbe' bado mnalalamika!
Tuwekeeni mwongozo wa tongozo basi....
Bwana mtu aje pm kistaarabu tu. Salamu mara moja. Mwaliko wa wine na nini. Lakini ukija na pupa kama fisi kaona mzoga mtu anaona unamchukulia malaya. Chukua muda. Juaneni kidogo. Sio message ya kwanza salamu ya pili unataka mkabanduane kama vile utamlipa kwa kuwa unajua anajiuza. Mi napenda wanaume wastaarabu. Na wastaarabu wengi nachat nao pm na wachache whatsapp wale wanaojilewa.
 
Afu spendi ushadadie. Utaniharibia ujue.
Umekataa masharti yangu ya kukuseduce to the next planet.
Ukayaogopa maneno matupu ambayo hayana ukweli.
Ila nitakupe another chance ya wewe kunipa anothe chance
Hahahahaaa.. kwahiyo ulikua unanidanganya you idiot? Nilijua kweli nikapanic. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Sema mi ntakusaidia kukuombea kwa Kasie maana mi si ndo ushaniacha tena.
 
Back
Top Bottom