Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,732
[emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno kama haya ,ndo yanakimbiza watu PM.Ha ha haaa,
tatizo huna mapenzi,
uko juu juu kama mkungu wa ndizi;
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno kama haya ,ndo yanakimbiza watu PM.Ha ha haaa,
tatizo huna mapenzi,
uko juu juu kama mkungu wa ndizi;
Aisee, poleni sana.Mtu anakufuata pm anakuambia nipe namba yako nataka nikalale (akitumia lile neno Kali [nataka nikito*mbe]) jamani vivulana vya Jf are very boring
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji85][emoji85][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kilugha changuNimekukumbusha wapi huko
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nimependa jibu lako mkuu
Hata simuogopi ujue. Sema naogopa tu tusije tamaniana humu ikawa ishu unaflirt na baba mdogo.Aisee jitahidi ujue ID yake.humu kumejificha mengi
Endelea kuigopa hivyo hivyo mwingine anataka kukujua tu unavyofanania na hii sura ya baba angu siku unapigwa madongo au unaanzishiwa lithread lako mtu flank anaringa ni mbaya huyo au wana magroup yao huko ya whatsapp huko unaenda kusemwaHahaha wewe kiboko aisee,ndiyo maana PM naogopa.
[emoji6] [emoji6][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji85][emoji85]
Kumbe eeh, make hata mimi najiulizaga sana how comes mtu humjui, hujamuona, hakujui, hajakuona halafu eti mnatongozana?Unajilipua tu. Utakachokutana nacho basi.
Mautundu hayo ya wapi?! Isije ikawa kunako sita kwa sita?! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ahahha kuna shemeji yangu mmoja yupo humu tunaitana shemeji wenyewe tupo kama ndugu sasa hivi
Tulikua tunachat pm shemeji yangu ni mstaarabu tumezoeana pm hakuna kunisumbua kuomba pic wala nini siku ya siku anataka tuonane hapo sijui anafananaje wala hajui shunie anafananaje
Nikaenda eneo la tukio nipo na rafiki yangu mmoja nikamuwahi nimekaa naangalia mlango akaniambia nipo na rafiki yangu basi kila wakiingia watu wawili naangalia mara wameingia vizee viwili nikaifunika simu yangu nikasema kama ndio yeye atapiga akome [emoji3] sipokei
Bada ya mda wakaingia wakaka wa makamo moja kwa moja alikuja kwenye meza yetu shunie shemeji yangu mm wala sikutag unajijua popote ulipo mtu ambaye sijutii kukufahamu jf Mungu azidi kukuweka tu na mautundu yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhaha poleeee, mie sina hamu na PM
Ilishanifanya nikakesha hadi kunakucha. .....
Ilishanifanya nikashinda njaa kutwa nzima.....
Ilishanifanya nikachelewa mahali.....
Sina hamu na PM....
Ngoja waje walionisababishia yote haya kama watajitaja. Tatizo langu ni kuwa napenda sana kuongea siwezi kuacha kuongea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nsharudisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rudisha hizo tunguli za mshana jr
Unaulizia isije akawa ameshakupitia nn?! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie kwahiyo ankole na yeye yupo humu I'd anayotumia vipi hujaimanya
Daaah ebu tufunge hii mada aisee nimechoka mbona mgumu hivyo kwenye ile sehemu wadada tulikua wachache mwanzoni tulikaa me na rafiki yangu madada wengine walikaa kwa mbali huko kwahiyo alihisi wale wa mwanzo lazima atakuwa shunie tuHoja amekujuaje?
Hahahha afu wewe.. [emoji40][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole sio wote ni vivulana lakiniMtu anakufuata pm anakuambia nipe namba yako nataka nikalale (akitumia lile neno Kali [nataka nikito*mbe]) jamani vivulana vya Jf are very boring
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] direct to the pointMtu anakufuata pm anakuambia nipe namba yako nataka nikalale (akitumia lile neno Kali [nataka nikito*mbe]) jamani vivulana vya Jf are very boring