Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka uvunje ndoa ya watu kwa kukosa kaba?Mwanaume hutongoza for fun tu.Kuna muda hatuko serious.Zingatia hilo usizuzuke kiboyaboya.🤣🤣 kwanza nicheke kiasi.
Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe?
Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma zangu huko SAUT, hivyo ukaribu na shemeji haukuwa kihiiivyo, ila siku zilivyozidi akawa ananijulia hali mara kwa mara sometimes anapita chuo kunisalimia me nikijua kawaida tu Shem Shem😊 lol.
Basi mazoea yalizidi nilipokuwa nakuwa Likizo na ndio kipindi dada yangu alikwenda Dar es Salaam kwaajili ya issue zake
Nikaona kama bwana yule anataka kunipa duties za mkewe nyingi kuliko kawaida bt kwasababu tayari nilikuwa na akili ya kujiongeza nikaanza kunusa mchezo anaotaka ucheza maana si kwa TIP zile nilizokuwa nachiwa🤣...
Kama ilivyo uvumilivu una ukomo, weekend moja jioni akaomba twende shopping ya hapo nyumbani then baada ya hapo akaniambia tupite sehemu amemiss SAMAKI wa BONASERA, si ndio akafunguka alipokuwa huko kwamba ananizimia sana na ila iwe siri yetu na atanihudumia kila kitu zaidi ya dada🙄, nilimwambia nitamjibu.
Ila toka siku hiyo nilimkwepa mpaka akawa anauliza kama kuna shida, ikawa imetoka mpaka nilipokuja rejea Dar. Ila dada sikumwambia sikutaka mambo yao yaharibike ila niliset gapes tu.
Vipi huko kaka/dadaz.... najua mnatongoza shemeji zenu au mnatongozwa sijui🤣🖐🏾
View attachment 3171522
☺️ Ningeliwa pia ningesema kwani wanijua kaka?🤣🤣🤣
Mbona hii inaonyesha kabisa huyo jamaa alikukula ? Ulimsaliti Dada yako. Maana kwa jinsi ulivyoandika hapa inaonyesha kabisa ulikiachia.
Kuna mambo mengine kama huna uwezo wa kuzungumza ukweli moja kwa moja msiwe mnayaanzishia uzi.
Kwa kifupi wewe uliliwa
5 years, ningekuwa sina kaba si ngeshawavuruga maana my dada ni rafiki yangu mzuri tu, bt sio wa namna hiyo ndio maana niliamua kustep a sideKwa hiyo unataka uvunje ndoa ya watu kwa kukosa kaba?Mwanaume hutongoza for fun tu.Kuna muda hatuko serious.Zingatia hilo usizuzuke kiboyaboya.
Kuna watu wanajua kunusa hadi harufu ya mwandiko.Usirudie kuandika hivyo tena utazua tafrani.Maoni tu.5 years, ningekuwa sina kaba si ngeshawavuruga maana my dada ni rafiki yangu mzuri tu, bt sio wa namna hiyo ndio maana niliamua kustep a side
Ulifanya la maana kupiga kimya maana wanaume mtusamehe tu5 years, ningekuwa sina kaba si ngeshawavuruga maana my dada ni rafiki yangu mzuri tu, bt sio wa namna hiyo ndio maana niliamua kustep a side
Mkuu ungeliwa kabisa, ungekuja kusimulia hapa?🤣🤣 kwanza nicheke kiasi.
Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe?
Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma zangu huko SAUT, hivyo ukaribu na shemeji haukuwa kihiiivyo, ila siku zilivyozidi akawa ananijulia hali mara kwa mara sometimes anapita chuo kunisalimia me nikijua kawaida tu Shem Shem😊 lol.
Basi mazoea yalizidi nilipokuwa nakuwa Likizo na ndio kipindi dada yangu alikwenda Dar es Salaam kwaajili ya issue zake
Nikaona kama bwana yule anataka kunipa duties za mkewe nyingi kuliko kawaida bt kwasababu tayari nilikuwa na akili ya kujiongeza nikaanza kunusa mchezo anaotaka ucheza maana si kwa TIP zile nilizokuwa nachiwa🤣...
Kama ilivyo uvumilivu una ukomo, weekend moja jioni akaomba twende shopping ya hapo nyumbani then baada ya hapo akaniambia tupite sehemu amemiss SAMAKI wa BONASERA, si ndio akafunguka alipokuwa huko kwamba ananizimia sana na ila iwe siri yetu na atanihudumia kila kitu zaidi ya dada🙄, nilimwambia nitamjibu.
Ila toka siku hiyo nilimkwepa mpaka akawa anauliza kama kuna shida, ikawa imetoka mpaka nilipokuja rejea Dar. Ila dada sikumwambia sikutaka mambo yao yaharibike ila niliset gapes tu.
Vipi huko kaka/dadaz.... najua mnatongoza shemeji zenu au mnatongozwa sijui🤣🖐🏾
View attachment 3171522
Tamaa shemeji
Angalia profile picture yakeTuone Picha yako kwanza
We n Mrembo Uko wap?Angalia profile picture yake
Hongera sana ,wanawake wangekuwa na akili kama zako tungefika mbali sana....maisha mengi yameharibika kisa mapenzi...kusingekuwa na siri lazima sister wako angekuja kujua tu.Ila toka siku hiyo nilimkwepa mpaka akawa anauliza kama kuna shida, ikawa imetoka mpaka nilipokuja rejea Dar. Ila dada sikumwambia sikutaka mambo yao yaharibike ila niliset gapes tu.