Tuliowahi tongozwa au mliowahi watongoza mashemeji zenu mpo?

Kwa hiyo unataka uvunje ndoa ya watu kwa kukosa kaba?Mwanaume hutongoza for fun tu.Kuna muda hatuko serious.Zingatia hilo usizuzuke kiboyaboya.
 
☺️ Ningeliwa pia ningesema kwani wanijua kaka?
 
Kwa hiyo unataka uvunje ndoa ya watu kwa kukosa kaba?Mwanaume hutongoza for fun tu.Kuna muda hatuko serious.Zingatia hilo usizuzuke kiboyaboya.
5 years, ningekuwa sina kaba si ngeshawavuruga maana my dada ni rafiki yangu mzuri tu, bt sio wa namna hiyo ndio maana niliamua kustep a side
 
Mkuu ungeliwa kabisa, ungekuja kusimulia hapa?

Kutongozwa na kutongoza ni aina ya sanaa kama vile muziki, kuna kupendezwa na kutopendezwa nao.

Muziki usiokupendeza, si kila mtu haupendi, wengine wapo wanaoupenda na kuushobokea.

Na cha ajabu, msomi kabisa unatongozeka kisha unashindwa kujenga hoja za kumpiga chini kisomi shemeji yako na ukaribu wenu akabakia palepale, badala yake unamsema vibaya kwamba ni wa hovyo na kumtenga!

Kutongoza ni kudemand, siyo kosa lile na kumkataa mtu pia siyo kosa, kosa ni kubaka.
 
Sikuwa najua kama wanajuana, nilitambulishwa , nikarusha nyavu.
Ila sasa kuonana nae ananiambie nimfuate ofisini kwao ndio nitoke nae, kuuliza location ni same location na x na wanajuana
Yule mpumbavu asivyokuwa na akili akamwambia mwenzako. X kuniuliza nikamwambia njoo tuongee ilivyokuwa, kwakuwa nilikuwa na njaa ikabidi nipashe wali wa jana. No string attached
 
Ila toka siku hiyo nilimkwepa mpaka akawa anauliza kama kuna shida, ikawa imetoka mpaka nilipokuja rejea Dar. Ila dada sikumwambia sikutaka mambo yao yaharibike ila niliset gapes tu.
Hongera sana ,wanawake wangekuwa na akili kama zako tungefika mbali sana....maisha mengi yameharibika kisa mapenzi...kusingekuwa na siri lazima sister wako angekuja kujua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…