Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

Kuzaa nje ya ndoa ni raana sa sjui mnataka mfarijiane kwa kipi

Au mnataka mjadiliane jinsi ya kupunguza stress maana nyumbani stress nyumba ndogo nako stress
Kupunguza stress unawa-block wale ving'ang'anizi
 
Kuzaa watoto ni utumwa ,ukubwani unataka kuwasumbua ili upate msaada.

Hakuna haja ya kuzaa watoto ,kulq maisha yako kivyako .
 
Hili lina ukweli sana ,labda wabaki kila mmoja kwa mzazi wake (mama) ila kuwaweka nyumba moja haiwezekani.

Father mdogo alipata shida licha ya ukwasi ila kulikuwa na balaa ,halafu Mtoto wake mkubwa wa kwanza ni wa nje ya ndoa ...Ilibaki nusu tu asipate hata shati japo father mdogo alikuwa na nyumba 5 ,viwanja na magari.
 
Mzeee kwenye point ya Mafanikio kipengere namba moja ni vibaya sana kutotambulisha watoto wako wa nje Kwa bi mkubwa brother I had a lot of experience narudia tena hiyo ni mbaya sana
Ukitambulisha mapema, unaweza kuharibu imani iliyopo sasa. Muhimu waliopo kwenye ndoa kuwapa kipaumbele kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…