KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mbona umemjibu hivyo, au unahisi ataconnect dot?Wachache tu, wako mashuleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umemjibu hivyo, au unahisi ataconnect dot?Wachache tu, wako mashuleni.
Unajuaje huyo sio ba watoto wako?Ilibidi nirudi ninoti unajiitaje humu
Roho mbaya sana wewe
Umuumize akiwa umri huo!!!!
Itavuja tu akuache.. Zen utazeeka na hao hao wa nje.
Tatizo hata aibu hauna.. Shame
Kwanini aruhusu litokee halafu aje amwadhibu?Single Maza 11 mungu anakuona na anakusubir Kwa adhabu Kali ,[emoji51]
Nyieee watu hawaogopi kitu😑Unaeza kuta ndio mskaji wako.
Sasa huyo bikra kwanini hujamwoa mkuu! mi nikikutana na bikra, naoa.1. Mmoja nilianza nae kabla hajaolewa, ila alikua na mshkaji. Huku na huku akapata mimba. Tukawaza tufanyeje akaniambia anaenda kumuambia jamaa kua ni yake. Jamaa kuambiwa akatangaza ndoa fasta mpaka leo wapo wote.
2. Huyu wapili alikua kweye ndoa tayari, ila alikua hajapata mtoto. Huku na huku tukaanza kubanjuka kitu kikanasa. Akaniambia huyu mtoto ni wa mume wangu nisije kukusikia unadai. Nikamuambia poa.
3. Watatu alikua ndani ya ndoa tayari ana mtoto 1. Huku na huku jamaa yake akamzingua wakawa wametengana. Mimi huyu hapa. Alipopata mimba akafanya juu chini kurudi kwa jamaa na kumbambikia. Mpaka leo wapo wote wanalea.
4. Huyu ambae nahudumia yeye alikua mwanafunzi wa chuo, tukaanza mahusiano na nilimkuta bikra. Huku na huku mimba. Kwa sasa yuko nyumbani.
5. Nilimsahau mmoja wa zamani kidogo 2015 huyo nilimtia mimba akiwa mwanafunzi wa form 4. Kwa bahati hakugundulika hadi akafanya mitihani. Nilikuja kuhama ule mkoa na sijawahi kumsikia tena wala sijui kilichoendelea.
Kwa sasa hapana mkuu, nipo makini. Hata micheps nimeacha kabisa🤣Ikitokea ukawa mbali na familia kikazi, inaweza kupelekea hii hali ya kuwa na watoto nje.
Ndiyo ipo.Ya kwangu ni mfano .Nina watoto watatu tu kwa mke mmoja wa ndoa.Hatuna mpango wa kuongeza na haiwezekani kwakuwa mke alishafunga kizazi.Mimi mwenyewe nishafanya maamuzi ya kutoza nje.Hivi kuna familia kabisaaaa iko baba mmoja mama mmoja na watoto wao tuu?? Yaani hakuna mambo ya nazi na nyanya kukutanishwa gengeni??
Duh!!!
Watafutie pori walime na kufuga; maisha ni haya hayaMzee alikua kafariki tena ni leo tar 6/2 na ndio kidume alikua wao.
Nikapewa jukumu kuongeza ukoo nikiwa 11.
Nilipiga zhing-zhong toka niko 14 , nilikua napita nao.
Hii dunia ina mambo sana, kwasasa 6 watoto wapo Original(watu wazima)
Acha mimba zilizotolewa,
Na vijukuu vipo sijui vingapi.
Problem sasa,
inakuja mama zao vizinga, watoto vizinga vijukua navyo vinapiga mizinga.
Hapo upande wako nao wako nawewe kama luba.
Sasa umri huu mtu umekata enga ukifkiria utafanyaje?
Nashukuru Mungu vidume vinne
viko sawasawa mpaka sasa vinafocus mbele.
ingawa bado kulia baba, baba kumo.
Mabinti masingo maza tatizo hapo.
Wanazaa km kuku wa kisasa.
Mbele hakuendeki nyuma hakukaliki.
Fainali hii hapa ila jukumu limetimia kaukoo kamo
Mke sitaki hata kusikia.
Kwa takwimu zilizopo, wanawake ni wengi kuliko wanaume, na wanaume wanazidi kupungua siku hadi siku kutokana na kukimbilia michezo ya wanawake; mwisho wa siku dada zetu wanakosa watu wa kuwapa ujauzito.Umechangia kuiharibu dunia chief. Hao wote baada ya kuwazalisha umewafanya wazinzi ni vigumu kuolewa.
Utasema nilichepuka, lakini sijui kama niliacha mtotoIla wanaume tumebeba siri nyingi mnoo,wake zetu wakija kujua hapata tosha aisee
Kwa sasa ni kukaa kimya tuUtaanzaje kumwambia? au tutamsingizia shetani?
NB. Nami na declare interest.
Bi mkubwa atabaki na vile vyote tulivyovipata tukiwa kwenye ndoa; huku nje ni kuwasapoti mahitaji ya shule na tiba kama itahitajika.Somesha hao watoto had I chuo kikuu ikibidi na huo utakuwa uridhi wao.Kisha andika usia ukimkabidhi ma mkubwa uridhi mliochuma pamoja
Siku zote mtoto akishakuwa mkubwa atapenda kujua wazazi wake wawili walipo.kuna mmoja alikuwa na binti yangu .. baada ya mtoto kufikisha miaka 9 ndo ikawa mwisho kumuona...ila hapa na pale matumizi + ada nikawa natuma.. kumbe yule mama ameshamlisha matango pori mtoto kuwa baba yako ameshafariki na korona.. . mtoto akaumia sana... juzi matokeo ya form foru yametoka binti kapiga 1.7.... sasa mama yake na mashost zake wakamchukua binti kwenda kumpongeza ..wakiwa huko gafla bint akaanza kulia akasema baba yangu angekuwa hai angefurah sana.. shost mmoja akauliza kwa Edson ameshafariki? . mama mtu akajiuma uma..... baadae sijui ni katika mazingira gani mtoto akasikia akimwambia yule shost yake kuwa nilimdanganya maana sitak baba yake ahusike kwa lolote...mtoto akaidaka hiyo....halooo palichimbika.. juzi jumamosi imebid mwenyewe (mama mtoto) anipigie na amsafirishe binti.. niko nae hapa.....huyu ndo nilijua nimepoteza.. kawa wa kwanza kufika hapa home.. w..mke wa ndoa wawili... nje ninao watano...
Ni vizuri kutulia, umri ukishaenda wanaume tunakuwa hatuna nguvu za kimamlaka; tunakuwa kama simba dume, tukisubiri jike awinde alete chakula.Kwa sasa hapana mkuu, nipo makini. Hata micheps nimeacha kabisa🤣
Wapime hao watoto wako dna, isijekuwa wakulungwa walishaingia huko ndani.Ndiyo ipo.Ya kwangu ni mfano .Nina watoto watatu tu kwa mke mmoja wa ndoa.Hatuna mpango wa kuongeza na haiwezekani kwakuwa mke alishafunga kizazi.Mimi mwenyewe nishafanya maamuzi ya kutoza nje.
Ukianza kuwaweka pamoja sasa hivi, uchague ndoa yako ivunjike au ukaribishe migogoro isiyokuwa ya lazima.Nilichojionea kutoka kwa Baba yangu juu ya watoto wakimatabaka litabaki kuwa darasa kwangu juu ya athari zilizopo kwenye mfumo wa maisha ya namna hii.
Kama watoto hawataishi kwa kupendana na kushirikiana jua kwamba umetengeneza bomu litakalo kuathiri siku zote za uzee wako.