Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

Mzee alikua kafariki tena ni leo tar 6/2 na ndio kidume alikua wao.
Nikapewa jukumu kuongeza ukoo nikiwa 11.
Nilipiga zhing-zhong toka niko 14 , nilikua napita nao.
Hii dunia ina mambo sana, kwasasa 6 watoto wapo Original(watu wazima)
Acha mimba zilizotolewa,
Na vijukuu vipo sijui vingapi.
Problem sasa,
inakuja mama zao vizinga, watoto vizinga vijukua navyo vinapiga mizinga.
Hapo upande wako nao wako nawewe kama luba.
Sasa umri huu mtu umekata enga ukifkiria utafanyaje?
Nashukuru Mungu vidume vinne
viko sawasawa mpaka sasa vinafocus mbele.
ingawa bado kulia baba, baba kumo.
Mabinti masingo maza tatizo hapo.
Wanazaa km kuku wa kisasa.
Mbele hakuendeki nyuma hakukaliki.
Fainali hii hapa ila jukumu limetimia kaukoo kamo
Mke sitaki hata kusikia.
 
Ulianzishaje mahusiano na hao wamama tupe experience!!?

Je hao wamama ni wazuri? Wana mvuto?
1. Mmoja nilianza nae kabla hajaolewa, ila alikua na mshkaji. Huku na huku akapata mimba. Tukawaza tufanyeje akaniambia anaenda kumuambia jamaa kua ni yake. Jamaa kuambiwa akatangaza ndoa fasta mpaka leo wapo wote.
2. Huyu wapili alikua kweye ndoa tayari, ila alikua hajapata mtoto. Huku na huku tukaanza kubanjuka kitu kikanasa. Akaniambia huyu mtoto ni wa mume wangu nisije kukusikia unadai. Nikamuambia poa.
3. Watatu alikua ndani ya ndoa tayari ana mtoto 1. Huku na huku jamaa yake akamzingua wakawa wametengana. Mimi huyu hapa. Alipopata mimba akafanya juu chini kurudi kwa jamaa na kumbambikia. Mpaka leo wapo wote wanalea.
4. Huyu ambae nahudumia yeye alikua mwanafunzi wa chuo, tukaanza mahusiano na nilimkuta bikra. Huku na huku mimba. Kwa sasa yuko nyumbani.
5. Nilimsahau mmoja wa zamani kidogo 2015 huyo nilimtia mimba akiwa mwanafunzi wa form 4. Kwa bahati hakugundulika hadi akafanya mitihani. Nilikuja kuhama ule mkoa na sijawahi kumsikia tena wala sijui kilichoendelea.
 
Aisee,na nyumbani unao wangap?
 
Hatari sana. Mi ninao nje wawili,nkawa najiona muhalifu mnoo. Kumbe wadau ni wengi kuzidi mimi kwa mujibu wa comments nilizo pitia hapa
We ni mhalifu mkuu. Mimi nje ninae mmoja tu (huyo nnaehudumia) hao wengine si wapo kwa "baba" zao? 😀
 
Katika kitu nilikikataa ni kuzaa nje ya mke wangu, na siji kufanya jambo hilo, kwakuwa haliji bahati mbaya bali unakuwa umelipanga, maana hapo haujatoa sababu maana zaidi ya ulafi kama ulivyosema, na ulafi sio tabia nzuri, hata kwa watoto tunawakataza kuwa tabia nzuri
Jitahidi pia kupima dna watoto wako wakiwa wachanga ili kuhakikisha hakuna watoto wa nje ya ndoa kwenye familia yako.
 
Kuna kipindi nilidhamiria kuwa na mtoto/watoto nje ya ndoa. Yule mwanamke anaringa sana, hata sasa nadhani bado anaringa sana. Nilivyoona mambo yatakuwa mengi nikaahirisha hadi leo wazo langu limekufa na halifufuki tena.

My love Atoto umeshalala?
Nimeandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta. Na bora alikuringia hivyo hivyo, maombi yangu ni makali sana. Shaurilo.
 
Jitahidi pia kupima dna watoto wako wakiwa wachanga ili kuhakikisha hakuna watoto wa nje ya ndoa kwenye familia yako.
Ni kujipa tabu na shida za bure mkuu, mwanamke asiyemwaminifu anajulikana na aliyemwaminifu anajulikana tu, shida huwa tunakaza fuvu ukishaona dalili ya mambo yasiyofaa huwa tunajipa moyo kuwa hawez kufanya hivi, ukishaona dalili kwamba kuna mambo hayaend sawa chukua hatua mapemam
 
Back
Top Bottom