Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

Umeongea kiimani zaidi; USA inataka kumiliki Gaza kwa sasa
 
Daaah
 
Mimi kwa haraka haraka nahisi nna watoto kama wa4 nje. Sema cha kufurahisha ni kwamba, katika hao wanne, ni mmoja tu ambae namhudumia. Hao watatu wengine mama zao wameolewa na wamewabambikizia waume zao wanalea. Wawili niliwazalisha kabla hawajaolewa, mmoja tu ndio alikua tayari ameshaolewa.
 
Ndani ya ndoa zao kuna watoto wetu 😃
 

Changamoto block list imejaa
Wana list yao maalum hao inaitwa black list..ni pasua kichwa ukiwatoa kwenye list
 
Lazima watakutafuta huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…