Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Anaamini binadamu Polisi au majeshi yao ya siri na bunduki zao wanazowanunulia na kuwapa zinasimama kuwasaidia na kuzuia nguvu ya Mungu Yehova kuwapiga na kuwafurusha...Ushauri wa namna hii alikuwa anapewa Freeman Mbowe lakini yeye na chawa wake walikuwa hata hawaamini kuwa yatawakuta...
Walikuwa hawaamini kabisa kuwa majira na nyakati haziko upande wake...
Nyakati na majira yalipotimia, yakajibu hoja na maswali yote kwa ufasaha na usahihi wake...
Huyu naye na chawa wake haamini kuwa huu sio wakati wake, si majira yake..
Anaamini binadamu Polisi au majeshi yao ya siri na bunduki zao wanazowanunulia na kuwapa zinasimama kuwasaidia na kuzuia nguvu ya Mungu Yehova kuwapiga na kuwafurusha...
Aibu na fedheha Iko mbele yao. Damu za waliowaua zinamlilia Mungu na kutaka kisasi...!!
Kwa kifupi kajiingiza mwenyewe tunduni. Tena press yake ile wakati anazindua Sera ya Mambo ya Nje ambapo aliviamuru vyombo vya dola kuwashughulikia wanaharakati itampeleka jela kimasihara sana na hatoamini.Hii ni zaidi ya Royal Tour, hii imeiacha Tz uchi
Yaaani sasa Dunia nzima ndo imeshtuka kumbe yanayosemwa kuhusu Tanzania ni kweli?Hii ni zaidi ya Royal Tour, hii imeiacha Tz uchi
Hivi hii kurudia alichosema mwingine, ni kwamba unakuwa huna cha kuchangia ila vidole vinawasha au huwa inakuwaje yani?Anaamini binadamu Polisi au majeshi yao ya siri na bunduki zao wanazowanunulia na kuwapa zinasimama kuwasaidia na kuzuia nguvu ya Mungu Yehova kuwapiga na kuwafurusha...
Duuh, tumefika huku?Yaaani sasa Dunia nzima ndo imeshtuka kumbe yanayosemwa kuhusu Tanzania ni kweli?
Mwanamke tena Raia wa nchi nyingine anabakwa na askari wako baada ya wewe kutoa amri kwa vyombo vya dola kuwashughulikia wanaharakati.
Labda huwa anaonyesha point ya muhimu aliyoi note.Hivi hii kurudia alichosema mwingine, ni kwamba unakuwa huna cha kuchangia ila vidole vinawasha au huwa inakuwaje yani?
Tutawakamats wao ICC,Kwa hapa ulipofika it's too late!
Tulikushauri hukusikia. It's just a matter of time. Jiandae kwenda ICC.
Tukio la huyu dada wa Uganda kutekwa na kubakwa hakika halijakuacha salama na mark this halitakuacha.
Press ya leo ya Gwajima imeonesha kuwa taasisi nyeti ya TISS imejiondoa kwenye haya yaliyofanyika. Inaonesha Taasisi hii wanaiambia Dunia kuwa hapana kwenye haya hatuhusiki.
Watu wako kina Mchengerwa, Katibu wako wamekudanganya sana . Kina CP Awandh na SACP Mafwele wametekeleza amri zako pamoja na vikundi ya hao UVCCM. Watu wametekwa, watu wamepotezwa, watu wameuwawa na watu wamebakwa na kulawitiwa.
Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata.
Njia pekee uliyonayo mkononi sasa kuzima haya ni kumuachia Lissu na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa ili kufuta hii movement ya ndani na nje ambayo kimsingi lazima itakuwajibisha. Hata hivyo sidhani kama hili litakusaidia sana maana hili la huyu dada wa Uganda limeifungua sana dunia juu ya udhalimu wanayofanyiwa Watanzania na utawala wako.
Jiandae.
View attachment 3344421
Tutawkamatahao ICC,nawaje tu,mbona unawaogopa sana hao mwabana zakoKwa hapa ulipofika it's too late!

Ila we jamaa una akili Za kitoto sana!!Kwa hapa ulipofika it's too late!

Fikiria Kama NI Yeye ndo alioa Amri Atuhaire abakwe .kwamba aliwaambia/kuwapa order polisi kwamba wajipigie wanavyoona sasa hapa hutawalaumu polisi?Yaaani sasa Dunia nzima ndo imeshtuka kumbe yanayosemwa kuhusu Tanzania ni kweli?
Mwanamke tena Raia wa nchi nyingine anabakwa na askari wako baada ya wewe kutoa amri kwa vyombo vya dola kuwashughulikia wanaharakati.
WeweYaaani sasa Dunia nzima ndo imeshtuka kumbe yanayosemwa kuhusu Tanzania ni kweli?
Mwanamke tena Raia wa nchi nyingine anabakwa na askari wako baada ya wewe kutoa amri kwa vyombo vya dola kuwashughulikia wanaharakati.
Mwambie aje tena,kama bado ana hamu,abakwe tenaYaaani sasa Dunia nzima ndo imeshtuka kumbe yanayosemwa kuhusu Tanzania ni kweli?
Mwanamke tena Raia wa nchi nyingine anabakwa na askari wako baada ya wewe kutoa amri kwa vyombo vya dola kuwashughulikia wanaharakati.
Wameishiwa hoja,walifikiri Tanzania ni ya kuchezea chezea.Ila we jamaa una akili Za kitoto sana!!
Hii ni zaidi ya Royal Tour, hii imeiacha Tz uchi
πππHivi hii kurudia alichosema mwingine, ni kwamba unakuwa huna cha kuchangia ila vidole vinawasha au huwa inakuwaje yani?
Ameshajaa huyu hana pa kuchomokeaHuyu mama akamatwe tu hakuna namna.
Jiandae kumsindikiza. Siku si nyingi Hati ya Kumakamata itatolewaWameishiwa hoja,walifikiri Tanzania ni ya kuchezea chezea.