Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata

Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata

Gwaji kashamaliza kila.kitu - mambo si swari kabisa.

Wakuu wa vyombo wameshafishwa kwamba hawahusiki kwa namna yoyote ile na huu uhuni.

Kazi kwake bi mkubwa...Police wanakamata na kumbaka mtuhumiwa - hivi hao ni police kweli ama polive feki..yaani eti wakati wanakula mzigo wa yule mdada wa kiganda wanamwamuru awe anaseme - "asante samia asante samia"

Tuhuma nzito sana hizi - tumejipalia makaa.

October haifiki...
Kwa huu ushetani hata mimi ninaandika petition kwenda ICC kuwaomba waje kumtamata Samia, Mchengerwa, CP Awadh na SACP Mafwele
 
Nunueni chakula kingi wekeni ndani, kachukueni pesa zenu benki wekeni ndani the situation is very worse siku za badae, watu wanajikusanyia pesa tu at the end watakimbia nchi na kutuacha empty tunaanza taabika
 
Kwa hapa ulipofika it's too late!

Tulikushauri hukusikia. It's just a matter of time. Jiandae kwenda ICC.

Tukio la huyu dada wa Uganda kutekwa na kubakwa hakika halijakuacha salama na mark this halitakuacha.

Press ya leo ya Gwajima imeonesha kuwa taasisi nyeti ya TISS imejiondoa kwenye haya yaliyofanyika. Inaonesha Taasisi hii wanaiambia Dunia kuwa hapana kwenye haya hatuhusiki.

Watu wako kina Mchengerwa, Katibu wako wamekudanganya sana . Kina CP Awandh na SACP Mafwele wametekeleza amri zako pamoja na vikundi ya hao UVCCM. Watu wametekwa, watu wamepotezwa, watu wameuwawa na watu wamebakwa na kulawitiwa.

Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata.

Njia pekee uliyonayo mkononi sasa kuzima haya ni kumuachia Lissu na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa ili kufuta hii movement ya ndani na nje ambayo kimsingi lazima itakuwajibisha. Hata hivyo sidhani kama hili litakusaidia sana maana hili la huyu dada wa Uganda limeifungua sana dunia juu ya udhalimu wanayofanyiwa Watanzania na utawala wako.

Jiandae.
View attachment 3344421
Walishaenda Kenya kuangalia ya genZ? Rwanda? Drc ? UGanda?palestine?
 
Back
Top Bottom