Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata

Wewe

Mwambie aje tena,kama bado ana hamu,abakwe tena
Tena wanaweza kutoa hati alafu wakawapa Waingereza waje kumkamata. Si unajua wana kambi ya Jeshi baharini pale si mbali sana na Comoro visiwa vya Diego Garcia
 
Hivi kama yule Mganda na Mkenya mngewaweka tu kwenye return flight shida ingekuwa ni nini?
Mngewachelewesha pale Airport kwenye passport control then mnachana hata kurasa muhimu kwenye passport na mnawaambia passport zao zinashida hazina Bio-page, mnawaweka kwenye return flight until next time.

Kuwateka na kuwabaka/kuwalawiti ilikuwa ni escalation na kuitia nchi kwenye doa na uadui tu.

Bwana Mwangi na huyu Dada pamoja na kuwa activists lakini bado ni raia na binadamu wa Kenya na Uganda wenye ndugu na jamaa huko makwao UNAFIKIRI NDUGU ZAO WAKENYA NA WAGANDA WATAFURAHIA UJINGA WALIOFANYIWA NDUGU ZAO, IPI NAFASI YA USALAMA WA WATANZANIA WANAOKWENDA NA KUISHI HUKO?
 
Alafu alivyo kilaza sasa alitoa amri kwa vyombo vya dola kuwashughulikia akiwa kwenye mkutano live uliokuwa na wageni mbalimbali wakiwemo maofisa wa balozi mbalimbali zikiwemo za Uganda na Kenya.

Kweli kosa vyote ila sio akili.
 
Anaamini binadamu Polisi au majeshi yao ya siri na bunduki zao wanazowanunulia na kuwapa zinasimama kuwasaidia na kuzuia nguvu ya Mungu Yehova kuwapiga na kuwafurusha...
Utawala wake umefikia tamati. Ni suala la muda tu.
 
Haki ichukue mkondo wake. Walipie damu za watu walizomwaga.
Lazima alipe haizidi mwaka kesho. Lazima tuone arrest warrant na makomandoo wavamie ikulu kumchukua kumpeleka ICC. Tena watatoka Kambi ya Marekani hapo Djibouti au Kule Diego Garcia.

Huyu ataishia kama Milosevic wa Yugoslsvia. Mark this.
 
Kwa hapa ulipofika it's too late!

Tulikushauri hukusikia. It's just a matter of time. Jiandae kwenda ICC.

Tukio la huyu dada wa Uganda kutekwa na kubakwa hakika halijakuacha salama na mark this halitakuacha.

Press ya leo ya Gwajima imeonesha kuwa taasisi nyeti ya TISS imejiondoa kwenye haya yaliyofanyika. Inaonesha Taasisi hii wanaiambia Dunia kuwa hapana kwenye haya hatuhusiki.

Watu wako kina Mchengerwa, Katibu wako wamekudanganya sana . Kina CP Awandh na SACP Mafwele wametekeleza amri zako pamoja na vikundi ya hao UVCCM. Watu wametekwa, watu wamepotezwa, watu wameuwawa na watu wamebakwa na kulawitiwa.

Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata.

Njia pekee uliyonayo mkononi sasa kuzima haya ni kumuachia Lissu na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa ili kufuta hii movement ya ndani na nje ambayo kimsingi lazima itakuwajibisha. Hata hivyo sidhani kama hili litakusaidia sana maana hili la huyu dada wa Uganda limeifungua sana dunia juu ya udhalimu wanayofanyiwa Watanzania na utawala wako.

Jiandae.
View attachment 3344421
Kumbe walimnaniii
 
Njia pekee uliyonayo mkononi sasa kuzima; haya ni kumuachia Lissu na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa ili kufuta hii movement ya ndani na nje ambayo kimsingi lazima itakuwajibisha. Hata hivyo sidhani kama hili litakusaidia sana maana hili la huyu dada wa Uganda limeifungua sana dunia juu ya udhalimu wanayofanyiwa Watanzania na utawala wako.

Jiandae.
View attachment 3344421
Hivi hii serikali ya Tanzania inawachukulia je watanzania na majirani? Tunaomba waliofanya huo ukatili akamatwe apelekwe pale kwa uwanja wa Mkapa wavuliwe nguo wafanye huo upumbavu wao.

wananchi tutalipia kiingio kama simba na yanga
 
Hakuna wa kuwafanya hivyo ndani ya nchi maana anayeamuru yafanyike hayo ni Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi.

Njie pekee iliyobaki kumuwajibisha ni kuhakikisha anatakamatwa na kufikishwa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ( ICC)
 
Gwaji kashamaliza kila.kitu - mambo si swari kabisa.

Wakuu wa vyombo wameshafishwa kwamba hawahusiki kwa namna yoyote ile na huu uhuni.

Kazi kwake bi mkubwa...Police wanakamata na kumbaka mtuhumiwa - hivi hao ni police kweli ama polive feki..yaani eti wakati wanakula mzigo wa yule mdada wa kiganda wanamwamuru awe anaseme - "asante samia asante samia"

Tuhuma nzito sana hizi - tumejipalia makaa.

October haifiki...
 
Ushauri wa namna hii alikuwa anapewa Freeman Mbowe lakini yeye na chawa wake walikuwa hata hawaamini kuwa yatawakuta...

Walikuwa hawaamini kabisa kuwa majira na nyakati haziko upande wake...

Nyakati na majira yalipotimia, yakajibu hoja na maswali yote kwa ufasaha na usahihi wake...

Huyu naye na chawa wake haamini kuwa huu sio wakati wake, si majira yake..

Anaamini binadamu Polisi au majeshi yao ya siri na bunduki zao wanazowanunulia na kuwapa zinasimama kuwasaidia na kuzuia nguvu ya Mungu Yehova kuwapiga na kuwafurusha...

Aibu na fedheha Iko mbele yao. Damu za waliowaua zinamlilia Mungu na kutaka kisasi...!!

Mithali 22:3 SUV
".....Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia...
Addition on that :
Mithali 22 : 8 Yeye apandaye uovu atavuna msiba, Na fimbo ya ghadhabu yake itakoma.
 
Kwa kifupi kajiingiza mwenyewe tunduni. Tena press yake ile wakati anazindua Sera ya Mambo ya Nje ambapo aliviamuru vyombo vya dola kuwashughulikia wanaharakati itampeleka jela kimasihara sana na hatoamini.
huyu bibi hajisomi kabsa, anaongea vitu fyongo sana, ile juzi badala ya kukemea ufisadi eti anamchamba aliyevujisha huo ufisadi.

huyu idd Amini mamaa ni bure kabsa.

upstairs yake inamshkeli
 
Kwa hapa ulipofika it's too late!

Tulikushauri hukusikia. It's just a matter of time. Jiandae kwenda ICC.

Tukio la huyu dada wa Uganda kutekwa na kubakwa hakika halijakuacha salama na mark this halitakuacha.

Press ya leo ya Gwajima imeonesha kuwa taasisi nyeti ya TISS imejiondoa kwenye haya yaliyofanyika. Inaonesha Taasisi hii wanaiambia Dunia kuwa hapana kwenye haya hatuhusiki.

Watu wako kina Mchengerwa, Katibu wako wamekudanganya sana . Kina CP Awandh na SACP Mafwele wametekeleza amri zako pamoja na vikundi ya hao UVCCM. Watu wametekwa, watu wamepotezwa, watu wameuwawa na watu wamebakwa na kulawitiwa.

Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata.

Njia pekee uliyonayo mkononi sasa kuzima haya ni kumuachia Lissu na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa ili kufuta hii movement ya ndani na nje ambayo kimsingi lazima itakuwajibisha. Hata hivyo sidhani kama hili litakusaidia sana maana hili la huyu dada wa Uganda limeifungua sana dunia juu ya udhalimu wanayofanyiwa Watanzania na utawala wako.

Jiandae.
View attachment 3344421

The Grave Human Rights Violations in Tanzania.
 
Acha wakuje,hii imevuka mipaka,ya kibinaadamu,wanyama na mataifa.
 
Nyingine hizi hapa;
Screenshot_20250524_192041_Chrome.jpg
Screenshot_20250524_191944_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom