Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #41
Kwa huu ushetani hata mimi ninaandika petition kwenda ICC kuwaomba waje kumtamata Samia, Mchengerwa, CP Awadh na SACP MafweleGwaji kashamaliza kila.kitu - mambo si swari kabisa.
Wakuu wa vyombo wameshafishwa kwamba hawahusiki kwa namna yoyote ile na huu uhuni.
Kazi kwake bi mkubwa...Police wanakamata na kumbaka mtuhumiwa - hivi hao ni police kweli ama polive feki..yaani eti wakati wanakula mzigo wa yule mdada wa kiganda wanamwamuru awe anaseme - "asante samia asante samia"
Tuhuma nzito sana hizi - tumejipalia makaa.
October haifiki...
Usikimbie tu. Hii sio ndoto tena ni uhalisia.Keep on dreaming...
Never give up.Kwa huu ushetani hata mimi ninaandika petition kwenda ICC kuwaomba waje kumtamata Samia, Mchengerwa, CP Awadh na SACP Mafwele
Hakuna ku give up safari hii. Haturudi nyumaNever give up.
Do it for the people and the country Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟHakuna ku give up safari hii. Haturudi nyuma
Tunafanya, tutafanya na hatutaacha kufanya hadi kieleweke.Do it for the people and the country Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Ngoja kamuda kakifika mtajua hamjui,hapo ukute Ntu ananyakuliwa pale Washington DC kama kapitiwa na kipanga,shaaaa!Anaenda kudondoshwa Ze huge.Keep on dreaming...
Walishaenda Kenya kuangalia ya genZ? Rwanda? Drc ? UGanda?palestine?Kwa hapa ulipofika it's too late!
Tulikushauri hukusikia. It's just a matter of time. Jiandae kwenda ICC.
Tukio la huyu dada wa Uganda kutekwa na kubakwa hakika halijakuacha salama na mark this halitakuacha.
Press ya leo ya Gwajima imeonesha kuwa taasisi nyeti ya TISS imejiondoa kwenye haya yaliyofanyika. Inaonesha Taasisi hii wanaiambia Dunia kuwa hapana kwenye haya hatuhusiki.
Watu wako kina Mchengerwa, Katibu wako wamekudanganya sana . Kina CP Awandh na SACP Mafwele wametekeleza amri zako pamoja na vikundi ya hao UVCCM. Watu wametekwa, watu wamepotezwa, watu wameuwawa na watu wamebakwa na kulawitiwa.
Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata.
Njia pekee uliyonayo mkononi sasa kuzima haya ni kumuachia Lissu na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa ili kufuta hii movement ya ndani na nje ambayo kimsingi lazima itakuwajibisha. Hata hivyo sidhani kama hili litakusaidia sana maana hili la huyu dada wa Uganda limeifungua sana dunia juu ya udhalimu wanayofanyiwa Watanzania na utawala wako.
Jiandae.
View attachment 3344421