Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

Kwa ilipofikia unaweza ukaiambia ikusomee kitabu na ikupe picha za matukio ya ndani ya kitabu hicho au ikuandalie movie inayo endana na hiyo story ya kitabu utakayo ipa isome!
Yes inaweza na ndivyo inavyofanyika.
Kwa sasa baadhi ya studio kubwa duniani wanaanza kufanya mazoezi ya kutumia AI Midjourney, hakutakuwa na haja ya kukodi na kuwapa watu pesa as wahusika wa movie.
 
Tunapoelekea AI itaua sana ajira.
Upigaji picha utabaki mkuu.
Kwa mfano hata baada ya kuja kamera bado picha za kuchora kwa mkono zinavutia na watu tunazipenda.
Upigaji picha utabaki sawa ila unategemea mauzo yatabaki sawa na yale ya 1988?.

Wapiga picha wengi, mfano hawa tunapokuwepo kwenye mikutano wanauza picha chini, kwa teknolojia hiyo unadhani watafua dafu?.

Mtu unamwambia sichukui hard copy nataka softcopy hana hata laptop, huyo ataweza kuhimili game?.
 
Hayo mambo tuyaona yanafanya na AI tunayaona makubwa kwakuwa hatujaweza kufikiri kwa kiwango hicho, ijapokuwa ni mambo naweza kusema madogo kama tukiweza kutumia sehemu nzima ya uwezo wetu wakufikiri
Binadamu katika kufikiria ana capacity fulani kuna ile ya general ila kuna ya mmoja mmoja ila kwa uwezo wa juu kabisa binadamu ana limit katika kufikiria kwa vile ubongo unachoka tofauti na Al(wanachukua data sehemu nyingi) .

Perfection ,Binadamu haweza kufanya kitu kikawa perfect kutokana na asili yake Al wanaweza kufanya moja kwa moja bila ya kupindisha ..

Level of respond ,Al anaweza kurespond fasta kama nervous system ya binadamu katika utendaji haswa ishu kama kujibu swali hili kwa akili za binadamu hatuna japo mfumo wa neva wa binadu unaweza
.
 
Upigaji picha utabaki sawa ila unategemea mauzo yatabaki sawa na yale ya 1988?.

Wapiga picha wengi, mfano hawa tunaokuwepo kwenye mikutano na kuona wanauza picha chini, kwa teknolojia hiyo unadhani watafua dafu?.

Mtu unamwambia sichukui hard copy nataka softcopy hana hata laptop, huyo ataweza kuhimili game?.
Mkuu kati ya picha ta kupigwa na kuchora kwa mkono ya kupigwa ina quality kubwa sana lakini picha za kuchora kwa mkono inauzwa ghali na inavutia.
Sema AI itaua talents nyingi kusema kweli.
 
Artificial Intelligence imekuwa gumzo kutokana na majority walikuwa hawafahamu ni nini exactly.

Ni kama watu wamekurupushwa usingizini na kuona ni jambo geni machoni mwao..

AI ilikuwepo, ipo na itakuwepo kinacholeta utifauti ni Advancements tu.

Watu wana-copy and paste contents na kufanya shallow review ya nini ni nini..

Mfno: kwa watu wa graphics ile PS ni AI full.. Ishu ni kwamba je unajua kutumia AI ikupe unachotaka? Hilo swali ndio linaleta Advancement of AI kwamba iwe simple as possible ktk kusolve matatizo mbalimbali.

AI isiwatishe cha msingi ujue upo kundi lipi na unajipambanuaje.
 
Sijaona cha ajabu hapo kama uko na akili sawa, utanielewa... hizo teknolojia iligunduliwa na nani? hapa sawa na kusema Computer iko na uwezo kuzidi aliyeitengeneza nitakucheka sana maana mwanadamu hata robo ya uwezo wake bado hajautumia . Watu walifanya vitu vikubwa zaidi ya hivi wandugu.
 
Artificial Intelligence imekuwa gumzo kutokana na majority walikuwa hawafahamu ni nini exactly.

Ni kama watu wamekurupushwa usingizini na kuona ni jambo geni machoni mwao..

AI ilikuwepo, ipo na itakuwepo kinacholeta utifauti ni Advancements tu.

Watu wana-copy and paste contents na kufanya shallow review ya nini ni nini..

Mfno: kwa watu wa graphics ile PS ni AI full.. Ishu ni kwamba je unajua kutumia AI ikupe unachotaka? Hilo swali ndio linaleta Advancement of AI kwamba iwe simple as possible ktk kusolve matatizo mbalimbali.

AI isiwatishe cha msingi ujue upo kundi lipi na unajipambanuaje.
Wow. Wambie
 
Kwa uwezo wako wa kufikiria ebu tulia na uwaze kuunda kitu kama nyuklia ama risasi kwa akili ya kawaida inawezekana? Ndio maana tunabaki na majibu kuwa huo uwezo sio wa wanadamu wa kawaida
Isiwezekane Kwa nini Kaka? Sema waafrika kila kitu huwa tunaamini haiwezekani na tunamuachia mungu. Kwa unavyodhani KIAFRIKA, kuku kupatikana bila kutagwa yai na kulaliwa ingewezekana?. Mbona Leo broila wapo na tunajua hawa kuku hawana tetea wala jogoo Kwa jins walivyopatikana
 
Binadamu katika kufikiria ana capacity fulani kuna ile ya general ila kuna ya mmoja mmoja ila kwa uwezo wa juu kabisa binadamu ana limit katika kufikiria kwa vile ubongo unachoka tofauti na Al .

Perfection ,Binadamu haweza kufanya kitu kikawa perfect kutokana na asili yake Al wanaweza kufanya moja kwa moja bila ya kupindisha ..

Level of respond ,Al anaweza kurespond fasta kama nervous system ya binadamu katika utendaji haswa ishu kama kujibu swali hili kwa akili za binadamu hatuna japo mfumo wa neva wa binadu unaweza
.
Hiyo sio nature ya AI...
Mnaifanya AI iwe kama vile ni lijitu laajabu sana wakati a single parameter inaweza kukulisha matango pori.
 
Hiyo sio nature ya AI...
Mnaifanya AI iwe kama vile ni lijitu laajabu sana wakati a single parameter inaweza kukulisha matango pori.
hizo ni baadhi ya features kweny Chatgpt haswa plus ambazo ni more advanced kuliko ya kawaida..Jaribu kufuatilia binadamu hawezi kufanya kazi kushinda na Al hata kidogo.

kaangali robot za Al then uje kwa points kama binadamu anatoboa
 
Promo sasa hii mbona kuna kijana wa kitanzania anatengeneza solar. Endelea kushangaa vya wazungu.
Please usilete udini mkuu maana naona unapotaka kuelekea, promo ya kitu gani?, Why usianzishe uzi wa huyo mwanao aliyeunda solar?.

Point yetu kubwa hapa ni "Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3"

If you don't understand please pita kushoto, we're not together on this 😀!.
 
umejikuta mwamba kuchanganya kiswahili na kingereza. Lugha yako tatizo ya kigeni ndo kabisa. Tulizana hoja yako ni finyu sana. Udini umeuona wapi. Funga sehemu ya maoni basi .
 
Back
Top Bottom