Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

hizo ni baadhi ya features kweny Chatgpt haswa plus ambazo ni more advanced kuliko ya kawaida..Jaribu kufuatilia binadamu hawezi kufanya kazi kushinda na Al hata kidogo.

kaangali robot za Al then uje kwa points kama binadamu anatoboa
Yaan hapo hakuna point sawa sawa useme binadamu ashindane na gari kukimbia.

Cha msingi unapaswa ujue bila Binadamu hakuna AI.

MFANO.

Hiyo AI inataka close supervision kumaintain data quality... + iwe up to date.. + Security hivyo vyote vinategemea binadamu.
 
Tulifikir after kuja ATM basi BANK TELLERS watakosa soko. Ila tunaona mambo yanaenda parallel.

Tech ipo na binadamu wapo.
Kumreplace binadamu ni kazi. Hasa binadamu anayetumia akili kuliko nguvu
 
Promo sasa hii mbona kuna kijana wa kitanzania anatengeneza solar. Endelea kushangaa vya wazungu.
Mzee unaongelea kutengeneza solar hahaaa mbona kitu kidogo sana hiko kwa wenzetu.
Nenda hapo IST DSM watoto wanatengeneza drones ndo useme solar.
 
Yes inaweza na ndivyo inavyofanyika.
Kwa sasa baadhi ya studio kubwa duniani wanaanza kufanya mazoezi ya kutumia AI Midjourney, hakutakuwa na haja ya kukodi na kuwapa watu pesa as wahusika wa movie.
Duh! Hao waigizaji wahamie africa sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960] kama kituo chao kipya
 
Mziki ni pale AI itakapo kua na uwezo wa njozi na kufanya maamuzi ya inachotaka! Asante kwa umeme maana havitoweza kufanya kazi bila umeme[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila tukija gundua endless source of power nacho kitakua kihama kingine
 
Mzee unaongelea kutengeneza solar hahaaa mbona kitu kidogo sana hiko kwa wenzetu.
Nenda hapo IST DSM watoto wanatengeneza drones ndo useme solar.
We umetengeneza kipi? afrika watu wanatengeneza mkeka kwa mikono wao wanatengeneza kwa mashine nani mwenye uwezo mkubwa hapo. Unaona uchawi wako sasa sa unashangaa drone 🤔 kweli kisanga
 
umejikuta mwamba kuchanganya kiswahili na kingereza. Lugha yako tatizo ya kigeni ndo kabisa. Tulizana hoja yako ni finyu sana. Udini umeuona wapi. Funga sehemu ya maoni basi
Acha maneno maneno ya uswahilini mkuu, mara funga sehemu ya maoni, uliponi challange ulitaka nikae kimya 😢!.

We're here now let's go; "Futu
re of AI and Nonprofit Growth in Web 3"
 
Ongeza minofu brother, kuna siri gani nyuma ya haya mapinduzi makubwa ya technology!?
Computer ndio Siri iliyo nyuma ya haya

Dunia inaenda kutawaliwa na marobot

Mfano mzuri Siri na Alexa hizo ni AI moja Google na moja Apple

Achia mbali hizo kuna AI la Microsoft na FB kwamba ukifa a/c yako itaendelea kufanya kazi ni robot lako sio wewe marehemu Ila litatumia picha yako na details zako zote

Utafika wakati marobot yataenda kuitawala dunia emu uwe unazingalia zile movie za Si-fi zinazohusu masuala ya AI

Anza na Terminator 3: Rise of the Mashines (2003) Starring Arnold Schwarzenegger, Nick Stahl, Claire Danes, and Kristanna Loken

Screenshot_20230408-071025.png

AI ni Jambo zuri sana lakini katika kila kizuri kuna faida na hasara zake, AI ni mfumo wa computer na unatengenezwa na mwanadamu ili uweze kujiendesha wenyewe bila kumtegemea mwanadamu na hufanyiwa updates na mwanadamu kila baada ya mda, AI ikijifunza inaweza kujifanyia updates yenyewe Ila kibaya ni pale mfumo unapopata attack ya namna yoyote mfano virus akimuingia basi mfumo unaweza kufanya kinyume na kile kilichokusudiwa, ukiangalia hio movie ya Terminator 3: Rise of the Mashines utakua umeelewa nazungumzia nini

Tafuta movie inaitwa Prometheus (2012) kwenye hii movie kuna robot AI linaitwa David sasa huyu David alichokifanya humo ndio utajua kua AI Ina faida pia Ina hasara

Screenshot_20230408-072537.png

Huyu ndio David (robot AI)

David kwenye hio movie na huyo Creator wake (alikua anamuita father) walienda kwenye Sayari nyingine kwa kigezo kwamba wanaenda kumtafuta alieumba wanadamu yaan MUNGU, yaan Creator wa David aliamini kwamba MUNGU yupo huko waende wakamuone

Screenshot_20230408-065548.png

Huko walipofika wakakutana na viumbe wa ajabu, huku na huku wote wakafa akabakia David tu ambae ni robot

David alipobaki akaanza kuumba viumbe kwa kutumia viumbe vya ajabu akichanganya na mabaki ya wanadamu yakatokea ma alien

Screenshot_20230408-065820.png

Muendelezo ulikua kwenye Alien: Covenant (2017) humu wanasayansi wengine wanaenda tena kwenye hio Sayari wakiwa na David (robot AI) mwingine ambae yupo more modified kuliko yule wa zamani yaan yupo updated si unajua kuhus Android kila baada ya mda inafanyiwa updates Ila yule David ambae alienda mwanzo hakufanyiwa updates zozote sababu alikua anaishi mwenyewe

Screenshot_20230408-070111.png

Basi walipofika wale David wawili wakaonana ni wanafanana Ila wote ni robots (AI) Ila yule aliefanyiwa updates ana akili kumzidi yule alietangulia, basi yule David wa mwanzo alietengeneza ma-aliens akaanza kuwashambulia wale waliokuja kimya kimya wakaanza kuuwawa

Screenshot_20230408-070412.png

Kumbe alikua anafanya research yaan robot linafanya research kuhusu mwanadamu, na lilikua na mkakati wa kutengeneza viumbe vipya na wanadamu wote wafyekelewe mbali mara watu wakaanza kufa baadae wakamshtukia kua huyu David wa zamani sio mzuri ngumi zikazuka kati David wa zamani na David mpya wakazipiga Ila David wa zamani alikua na technique mpya alizojibunia mwenyewe akamshinda David mpya Ila hakumuua (robot hafi labda afanye self destruct)

Baada ya hapo akaanza kuwafukuzia wale waliokuja ili awafanyanyie mbaya

Muendelezo wa Alien: Covenant (2017) ulikua ni Alien: Awakening (2019) Ila haikutoka mpaka leo haijaendelezwa ingawa ukifuatilia inaonekana ilishatengenezwa sababu za kutokutoka ni msigishano wa maudhui ya movie na watu wa dunia maana hio Alien: Awakening (2019) David alikua amechukua chombo akiwa na viumbe wa ajabu (aliens) anakuja Duniani kuiangamiza Dunia yote

AI ni nzuri Ila Ina faida na hasara zake robot lilikubadirikia au robot likichezesha viumbe vingine viingiliane na mfumo wa mwanadamu hapo kinazuka kiumbe Cha ajabu,

Naweka karamu chini...
 
We umetengeneza kipi? afrika watu wanatengeneza mkeka kwa mikono wao wanatengeneza kwa mashine nani mwenye uwezo mkubwa hapo. Unaona uchawi wako sasa sa unashangaa drone [emoji848] kweli kisanga
Solar kwa sasa ni kawaida tuuu....tunaongelea current innovations...
Hiyo solar imeanza kutengenezwa miaka mingi iliyopita. Hoja ni kwamba hayuko ktk pace ya teknolojia tuko nyuma sana.

Unazungumzia mkeka wakati huu...ni product sawa lakini lazima iendane na mahitaji ya sasa...yaani utumie teknolojia ikisaidie kupata mkeka Bora kwa bei nafuu siyo wiki mbili na zaidi unapata product ya mkeka mmoja kama walivyokuwa wanafanya wa kina mama kushona mkeka kwa kupitia ukiri mara kuchemsha rangi kweka ukindu etc that is way past ..ndiyo maana mikeka ya china ya plastick imekamata soko. Hujajiuliza Why?
 
Computer ndio Siri iliyo nyuma ya haya

Dunia inaenda kutawaliwa na marobot

Mfano mzuri Siri na Alexa hizo ni AI moja Google na moja Apple

Achia mbali hizo kuna AI la Microsoft na FB kwamba ukifa a/c yako itaendelea kufanya kazi ni robot lako sio wewe marehemu Ila litatumia picha yako na details zako zote

Utafika wakati marobot yataenda kuitawala dunia emu uwe unazingalia zile movie za Si-fi zinazohusu masuala ya AI

Anza na Terminator 3: Rise of the Mashines (2003) Starring Arnold Schwarzenegger, Nick Stahl, Claire Danes, and Kristanna Loken

View attachment 2580422

AI ni Jambo zuri sana lakini katika kila kizuri kuna faida na hasara zake, AI ni mfumo wa computer na unatengenezwa na mwanadamu ili uweze kujiendesha wenyewe bila kumtegemea mwanadamu na hufanyiwa updates na mwanadamu kila baada ya mda, AI ikijifunza inaweza kujifanyia updates yenyewe Ila kibaya ni pale mfumo unapopata attack ya namna yoyote mfano virus akimuingia basi mfumo unaweza kufanya kinyume na kile kilichokusudiwa, ukiangalia hio movie ya Terminator 3: Rise of the Mashines utakua umeelewa nazungumzia nini

Tafuta movie inaitwa Prometheus (2012) kwenye hii movie kuna robot AI linaitwa David sasa huyu David alichokifanya humo ndio utajua kua AI Ina faida pia Ina hasara

View attachment 2580443
Huyu ndio David (robot AI)

David kwenye hio movie na huyo Creator wake (alikua anamuita father) walienda kwenye Sayari nyingine kwa kigezo kwamba wanaenda kumtafuta alieumba wanadamu yaan MUNGU, yaan Creator wa David aliamini kwamba MUNGU yupo huko waende wakamuone

View attachment 2580417

Huko walipofika wakakutana na viumbe wa ajabu, huku na huku wote wakafa akabakia David tu ambae ni robot

David alipobaki akaanza kuumba viumbe kwa kutumia viumbe vya ajabu akichanganya na mabaki ya wanadamu yakatokea ma alien

View attachment 2580419

Muendelezo ulikua kwenye Alien: Covenant (2017) humu wanasayansi wengine wanaenda tena kwenye hio Sayari wakiwa na David (robot AI) mwingine ambae yupo more modified kuliko yule wa zamani yaan yupo updated si unajua kuhus Android kila baada ya mda inafanyiwa updates Ila yule David ambae alienda mwanzo hakufanyiwa updates zozote sababu alikua anaishi mwenyewe

View attachment 2580420

Basi walipofika wale David wawili wakaonana ni wanafanana Ila wote ni robots (AI) Ila yule aliefanyiwa updates ana akili kumzidi yule alietangulia, basi yule David wa mwanzo alietengeneza ma-aliens akaanza kuwashambulia wale waliokuja kimya kimya wakaanza kuuwawa

View attachment 2580421

Kumbe alikua anafanya research yaan robot linafanya research kuhusu mwanadamu, na lilikua na mkakati wa kutengeneza viumbe vipya na wanadamu wote wafyekelewe mbali mara watu wakaanza kufa baadae wakamshtukia kua huyu David wa zamani sio mzuri ngumi zikazuka kati David wa zamani na David mpya wakazipiga Ila David wa zamani alikua na technique mpya alizojibunia mwenyewe akamshinda David mpya Ila hakumuua (robot hafi labda afanye self destruct)

Baada ya hapo akaanza kuwafukuzia wale waliokuja ili awafanyanyie mbaya

Muendelezo wa Alien: Covenant (2017) ulikua ni Alien: Awakening (2019) Ila haikutoka mpaka leo haijaendelezwa ingawa ukifuatilia inaonekana ilishatengenezwa sababu za kutokutoka ni msigishano wa maudhui ya movie na watu wa dunia maana hio Alien: Awakening (2019) David alikua amechukua chombo akiwa na viumbe wa ajabu (aliens) anakuja Duniani kuiangamiza Dunia yote

AI ni nzuri Ila Ina faida na hasara zake robot lilikubadirikia au robot likichezesha viumbe vingine viingiliane na mfumo wa mwanadamu hapo kinazuka kiumbe Cha ajabu,

Naweka karamu chini...
Mkuu nafkiri iliishia pale binadamu wametoroka wanarudi duniani wakidhani wapo na David wao mpya kumbe ni yule wa zamani. Ile wanaingia ktk zile capsule zao kulala David wa zamani anamfungia yule dada ndo yule dada anagunfya David aliyepo ktk ile ship ni wa zamani...wakati chombo kishasetiwa kinakuja duniani....kama sikosei
 
Hayo mambo tuyaona yanafanya na AI tunayaona makubwa kwakuwa hatujaweza kufikiri kwa kiwango hicho, ijapokuwa ni mambo naweza kusema madogo kama tukiweza kutumia sehemu nzima ya uwezo wetu wakufikiri
Kwani hatutumii uwezo wote saivi?
 
Dude tukubali ukweli

Hizo ndege zilizotengenezwa na Waafrika ziko wapi?
Mkuu mimi binafsi baba yangu alikua Electrical engineer(R.I.P), Kuna siku niliwahi kumuliza kwanini Tanzania hatuna magari ya kutengeneza wenyewe? Akaniambia uwezo wa kutengeneza wanao tatizo material
 
Solar kwa sasa ni kawaida tuuu....tunaongelea current innovations...
Hiyo solar imeanza kutengenezwa miaka mingi iliyopita. Hoja ni kwamba hayuko ktk pace ya teknolojia tuko nyuma sana.

Unazungumzia mkeka wakati huu...ni product sawa lakini lazima iendane na mahitaji ya sasa...yaani utumie teknolojia ikisaidie kupata mkeka Bora kwa bei nafuu siyo wiki mbili na zaidi unapata product ya mkeka mmoja kama walivyokuwa wanafanya wa kina mama kushona mkeka kwa kupitia ukiri mara kuchemsha rangi kweka ukindu etc that is way past ..ndiyo maana mikeka ya china ya plastick imekamata soko. Hujajiuliza Why?
Siku teknolojia ikikuletea chakula cha bure na nyumba ya kuishi bure hapo nitakuja kuikubali. Biashara za watu. Teknolojia ni kwa wenye uwezo we kapuku bado huna faida na Teknolojia zaidi ya kutafuta umaskini
 
Mkuu nafkiri iliishia pale binadamu wametoroka wanarudi duniani wakidhani wapo na David wao mpya kumbe ni yule wa zamani. Ile wanaingia ktk zile capsule zao kulala David wa zamani anamfungia yule dada ndo yule dada anagunfya David aliyepo ktk ile ship ni wa zamani...wakati chombo kishasetiwa kinakuja duniani....kama sikosei
Yes ndio hivyo mkuu alafu akawa ameshamfungia kuna swali alimuuliza kuhusu Boat lile swali lilikua km password ya David mpya ambayo David wa zamani alikua hajui, kabla ya kufunga ile mashine alipokua amelala alipomuuliza akajibu tofauti ndio akagundua kua huyu ni yule wa zamani sio mpya, lakini pia usisahua kua wale wote sio binadamu halisi bali ni clones
Screenshot_20230408-111312.png
 
Kwahiyo unafikiri kwamba hao wazungu wanatumia uwezo wa akili zao kufikiri? Mbona sisi Waafrika tumeshindwa? C'mon dude hao watu wana siri zao.
Siri zipi?
 
Back
Top Bottom