Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

Akaniambia uwezo wa kutengeneza wanao tatizo material
Tatizo sio material (vifaa) tu Ila tatizo lingine lililojificha ndani ya ukosefu wa materials (vifaa) ni umasikini vifaa vingi ni gharama, watu wa chini wenye ujuzi hawawezi ku-afford vifaa vinavyouzwa gharama ya juu
 
Yaan hapo hakuna point sawa sawa useme binadamu ashindane na gari kukimbia.

Cha msingi unapaswa ujue bila Binadamu hakuna AI.

MFANO.

Hiyo AI inataka close supervision kumaintain data quality... + iwe up to date.. + Security hivyo vyote vinategemea binadamu.
Nop tunaaangalia future ya wafanyakazi.

Mfano HR Wanaofanya close supervision ya wafanyakazi (binadamu) chini ya robot za Al ni kitengo cha IT pekee kitakuwa na uwezo wa kucontrol vitengo vyote ambavyo operators ni robots.

kwa maana hyo hapo HR labda wajifunze mambo ya IT ndo watabaki kazini na hao wafanyakazi kazi zao zimechukuliwa na robots
 
Kwahiyo unafikiri kwamba hao wazungu wanatumia uwezo wa akili zao kufikiri? Mbona sisi Waafrika tumeshindwa? C'mon dude hao watu wana siri zao.
Hakuna uchawi wala ushirikina kwenye issues za Computer hata wewe ukielekezwa na ukizingatia unafanya, I was like you siku nabuni AI ya Sauti niliondokana na hio mentality ya kijinga, hata wewe unaweza kikubwa uwe na vifaa km hauna vifaa sahau kufanya makubwa na vifaa sio gharama ndogo
 
Binadamu katika kufikiria ana capacity fulani kuna ile ya general ila kuna ya mmoja mmoja ila kwa uwezo wa juu kabisa binadamu ana limit katika kufikiria kwa vile ubongo unachoka tofauti na Al .

Perfection ,Binadamu haweza kufanya kitu kikawa perfect kutokana na asili yake Al wanaweza kufanya moja kwa moja bila ya kupindisha ..

Level of respond ,Al anaweza kurespond fasta kama nervous system ya binadamu katika utendaji haswa ishu kama kujibu swali hili kwa akili za binadamu hatuna japo mfumo wa neva wa binadu unaweza
.
Na assume hujui AI inafanyaje kazi kwa ulicho kiandika
 
umejikuta mwamba kuchanganya kiswahili na kingereza. Lugha yako tatizo ya kigeni ndo kabisa. Tulizana hoja yako ni finyu sana. Udini umeuona wapi. Funga sehemu ya maoni basi .
Huyo hua anapenda kususa Susa Kama vile Yuko kwny M.P na hapendi kua challenged.
 
Nikueleze ipi Machine Learning, deep learning au data science na mining!?
Artificial intelligence (AI) refers to the simulation of human intelligence in machines that are programmed to learn from their experience and perform tasks that would typically require human intelligence, such as visual perception, speech recognition, decision-making, and language translation. There are several approaches to developing AI, but the most popular ones are machine learning and deep learning.

Haya niambie hapa !
 
hapa sawa na kusema Computer iko na uwezo kuzidi aliyeitengeneza nitakucheka sana maana mwanadamu hata robo ya uwezo wake bado hajautumia
Computer inakua chini ya usimamizi wa mtu anaitwa IT (middleman between users and producers/manufacturers) hapa kuna maelezo mengi mengi Ila subiri

Sasa programmers wamekaa chini wameunda mfumo ambao computer itajiendesha yenyewe pasina kuhitaji msaada kutoka kwa IT may be kwa kuifanyania updates za hapa na pale Sasa hii ndio wakaiita AI inajiendesha kwa kutumia akili bandia iliyopandikiziwa

Mfano:

Mimi nilijaribu kutengeneza ya Sauti (Audio) kwa ajili ya ku-play mziki

Niliiset baadhi ya Miziki ndani ya program then baada ya kumaliza naongea may tuiite B nasema "B play Marioo - For You" inaitiki "Okay now play Marioo - For You" alafu mziki unaanza kupiga

Usichokielewa hayo maelezo ya "Okay now playing Marioo - For You" nakua nimeyaandika Ila naidirect program moja kwa moja kwenye folder ya mziki iliyopo kwenye computer yangu then inajiplay kwenye VLC

It's possible...
 
Wacha Wazungu wafikiri kwa niaba yetu, sisi tumezoea kuongozwa kwa kila kitu.

Mnafikiri hivi vichwa vyetu vitafikiri nini iwapo hadi saivi tunatatizo la Utapiamlo miongoni mwa watoto wetu, Africa bado tunasafari ndefu mno kwa kweli
 
Computer inakua chini ya usimamizi wa mtu anaitwa IT (middleman between users and producers/manufacturers) hapa kuna maelezo mengi mengi Ila subiri

Sasa programmers wamekaa chini wameunda mfumo ambao computer itajiendesha yenyewe pasina kuhitaji msaada kutoka kwa IT may be kwa kuifanyania updates za hapa na pale Sasa hii ndio wakaiita AI inajiendesha kwa kutumia akili bandia iliyopandikiziwa

Mfano:

Mimi nilijaribu kutengeneza ya Sauti (Audio) kwa ajili ya ku-play mziki

Niliiset baadhi ya Miziki ndani ya program then baada ya kumaliza naongea may tuiite B nasema "B play Marioo - For You" inaitiki "Okay now play Marioo - For You" alafu mziki unaanza kupiga

Usichokielewa hayo maelezo ya "Okay now playing Marioo - For You" nakua nimeyaandika Ila naidirect program moja kwa moja kwenye folder ya mziki iliyopo kwenye computer yangu then inajiplay kwenye VLC

It's possible...
👏👏👏we ndo unaelewa jinsi Al inafanya kazi sio wazee wa theory..

Al Itakuwa na perfection kubwa kuliko binadamu ukicommanda inafanya fasta.
 
zote wewe umekariri ile kusoma darsani ila hujui kama unabisha eleza? Too theoretically wakati wenzio wanafnyia kazi
Mkuu wewe ndio umekalili na unaongea based on your perception na unalazimisha ziwe fact zikubalike na kila mtu.
Nimesema hujui unachongea baada ya kuona una compare akili ya mwanadamu na hizi AI.
 
Mkuu wewe ndio umekalili na unaongea based on your perception na unalazimisha ziwe fact zikubalike na kila mtu.
Nimesema hujui unachongea baada ya kuona una compare akili ya mwanadamu na hizi AI.
Nimeonyesha Al yupo juu...Japo Al ni akili bandia ola zina perfection rejea points zangu .

Mifumo tunatumia sio theory za kusoma kama wewe ...Ntakupa mfano Robot ya Al unaweza kuambia 235×156 = kwa zinazodetect sound ikakujibu fast ilq binadamu sio rahi labda yule mweny kipawa ...Hapa kuna perfection (anakupa jibu sahihi ) na level of respond ( Atajibu haraka na binadamu labda akae chini apige mahesabu achukue mda)

Usicomplicate hizo ni akili bandia ila zipo programmed ni hatari kwa binadamu wa kawaida Ingia youtube uone Al ...Itatumika kila ..

Unatakiwa uone sio kusoma kama mwanafunzi ninayo magroup kibao since mwaka hata hyo chatgpt ilikuwa bado .
 
Mkuu AI hata siyo akili wala haina uhusiano na akili.
Ndio maana kuna msemo wanasema artificial intelligence is not intelligent and deep learning is not learning.
Hizo ni mathematics tu, mtoto mdogo ukimuonesha huyu ni mbwa atajua ni mbwa lakini model ya artificial intelligence inahitaji data million kuifundisha huyo ni mbwa.
 
Al Itakuwa na perfection kubwa kuliko binadamu ukicommanda inafanya fasta.
AI ni dunia nyingine mkuu, Ingawa ni kipengele kidogo tu kwenye masuala ya computer Ila impact yake ni kubwa mno ndio maana kwenye uundaji wake unahitaji umakini wa hali ya juu kuhakikisha inakua secure isije ikawa attacked kirahisi yaan kwenye issues za Computer AI haikwepeki kamwe, Ila ukikosea inaweza ikaingiwa na virus ikafanya kinyume hapo ndio mtiti unapoanzia, hata zile za hospital zinazotibu macho na meno pia zikikosewa kusimamiwa au zikiingiliwa na wadudu zinaleta madhara

Ukiangalia movie mfano Ex Mashina (2004) utajifunza kitu pia angalia The Matrix (1999) ukiangalia utaelewa jambo especially hio The Matrix
 
Mkuu AI hata siyo akili wala haina uhusiano na akili.
Ndio maana kuna msemo wanasema artificial intelligence is not intelligent and deep learning is not learning.
Hizo ni mathematics tu, mtoto mdogo ukimuonesha huyu ni mbwa atajua ni mbwa lakini model ya artificial intelligence inahitaji data million kuifundisha huyo ni mbwa.
😂😂kwani mi nasemaje hapa hao robot ni programmed kwamba wanachukua data sehemu tofauti katika servers ,websites ,sijui data zote...

Kwani wanaenda chooni hao sio binadamu wamesema artificial intelligence akili bandia zitakazofanya vizuri zaid ya binadamu japo zipo bias maana zinaweza kuleta Data za uongo ila kwa kulinganisha ni binadamu wapo perfect kwa kiasi kikubwa katika utendaji kazi hawa hawali ,hawalali wanafanya kazi kwa command prompt iwe sauti au maandishi..

Kama Ni mfuatilia ebu tafuta cartoon ya Tommy&jerry ile episode analetewa yule robot na Tommy akafukuzwa kazi yake ila baadae walionyesha madhaifu ya ile robot ilikuwa inaharibu kila kitu mule ndani kumkimbiza jerry.
 
AI ni dunia nyingine mkuu, Ila ni kipengele kidogo tu kwenye masuala ya computer Ila impact yake ni kubwa ndio maana kwenye uundaji wake unahitaji umakini yaan kwenye issues za Computer AI haikwepeki kamwe, Ila ukikosea inaweza ikaingiwa na virus ikafanya kinyume

Ukiangalia movie mfano Ex Mashina (2004) utajifunza kitu pia angalia The Matrix (1999) ukiangalia utaelewa jambo especially hio The Matrix
ile episode ya Tommy and jerry ile robot alikuwa inazuia jerry ile mwisho wa siku ilikuwa inafukuza haichoki mpaka inaharibu nyumba.
 
😂😂kwani mi nasemaje hapa hao robot ni programmed kwamba wanachukua data sehemu tofauti katika servers ,websites ,sijui data zote...

Kwani wanaenda chooni hao sio binadamu wamesema artificial intelligence akili bandia zitakazofanya vizuri zaid ya binadamu japo zipo bias maana zinaweza kuleta Data za uongo ila kwa kulinganisha ni binadamu wapo perfect kwa kiasi kikubwa katika utendaji kazi hawa hawali ,hawalali wanafanya kazi kwa command prompt iwe sauti au maandishi..

Kama Ni mfuatilia ebu tafuta cartoon ya Tommy&jerry ile episode analetewa yule robot na Tommy akafukuzwa kazi yake ila baadae walionyesha madhaifu ya ile robot ilikuwa inaharibu kila kitu mule ndani kumkimbiza jerry.
Mkuu ndio maana nakuambia hujui kitu kuhusu AI acha kuangalia muvi soma vitabu.
AI unaweza kuilezea zaidi ya kusema akili bandia na ku google!?
 
zipo bias maana zinaweza kuleta Data za uongo
Ndio maana kuna kitu kinaitwa algorithms hiki ndicho robot linafanya, mfano ukiingia Google leo Google wameset marobot kwenye engine yao Yale marobot kazi yao ni kukuangalia wewe unapenda nini

Sasa utashangaa baada ya wiki utakua unaona Mambo yale unayoyapenda tu, yaan robot (Google bots) linapita linasanya kila angle za servers linakuletea info unazopenda kwenye browser yako iwe ads au info zozote Ila ni zile unapenda tu
 
Back
Top Bottom