Huu Uzi na nyingine kama hizi hazina wachangiaji wengi sana unajua kwanini?
My guess ni kwamba hatutaki kufikirisha vichwa, huwezi kufikirisha kichwa wakati unasikia kuna tilioni kadha wa kadha za serikali hazijilikani zilipo. Ndiyo maana wengi tunajikuta tunataka mambo mepesi kama vile story za kimbea na ugomvi siku iishe...tupo ndani ya mduara.
Mada yako siyo kama watu hawana hoja lakini watu wanaona why trouble?
Serikali inaumiza afya ya akili ya watu wengi sana kwa kujua au kutokujua.
Anyway, kuna mtu siku moja alituma video ktk ticktock akitupa majibu jinsi alivyoiomba Al imchoree image za malaika . Ikampa na hapa umetuomesha picha tofauti tofauti.
Ninachokiona si ajira tu za watu ila kutakuja kutokea tatizo kubwa sana iwapo Roboti/ Al akiweza ku operate on his own command. Yaani unaweza uka command akupe picha ya Asia yeye ajibu kuwa ya Asia siyo nzuri tumia hii au aseme kuwa yeye ameipenda picha fulani akulazimishe wewe uitumie hiyo aliyoipenda maana yake machine itakuwa conscience na hapo itakuwa begining of the end ya AI au ya humanity nafkiri ushawai check movie za terminator, Megan etc.
So naona ajira ni kitu kidogo sana kwa sababu technology ya simu imeua kazi za mafundi saa, wapiga picha imebidi wawe na studio na kamera za kisasa na software za adobe etc, biashra ya flash imepungua yaani ni kama vile mwendo Kasi utavyo leta balaa kwa makonda wa daladala hapo mbeleni...