Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

Huu Uzi na nyingine kama hizi hazina wachangiaji wengi sana unajua kwanini?
My guess ni kwamba hatutaki kufikirisha vichwa, huwezi kufikirisha kichwa wakati unasikia kuna tilioni kadha wa kadha za serikali hazijilikani zilipo. Ndiyo maana wengi tunajikuta tunataka mambo mepesi kama vile story za kimbea na ugomvi siku iishe...tupo ndani ya mduara.

Mada yako siyo kama watu hawana hoja lakini watu wanaona why trouble?

Serikali inaumiza afya ya akili ya watu wengi sana kwa kujua au kutokujua.

Anyway, kuna mtu siku moja alituma video ktk ticktock akitupa majibu jinsi alivyoiomba Al imchoree image za malaika . Ikampa na hapa umetuomesha picha tofauti tofauti.

Ninachokiona si ajira tu za watu ila kutakuja kutokea tatizo kubwa sana iwapo Roboti/ Al akiweza ku operate on his own command. Yaani unaweza uka command akupe picha ya Asia yeye ajibu kuwa ya Asia siyo nzuri tumia hii au aseme kuwa yeye ameipenda picha fulani akulazimishe wewe uitumie hiyo aliyoipenda maana yake machine itakuwa conscience na hapo itakuwa begining of the end ya AI au ya humanity nafkiri ushawai check movie za terminator, Megan etc.

So naona ajira ni kitu kidogo sana kwa sababu technology ya simu imeua kazi za mafundi saa, wapiga picha imebidi wawe na studio na kamera za kisasa na software za adobe etc, biashra ya flash imepungua yaani ni kama vile mwendo Kasi utavyo leta balaa kwa makonda wa daladala hapo mbeleni...
Rejea animation ya The Animatrix ya 2003. Inafikirisha.
 
Mkuu ndio maana nakuambia hujui kitu kuhusu AI acha kuangalia muvi soma vitabu.
AI unaweza kuilezea zaidi ya kusema akili bandia na ku google!?
nitajie njia ambazo Al inaweza kufanya kazi nimebase kweny robotic ...

Rudi ukasome.👇

  1. Natural language processing: Natural language processing (NLP) is a branch of AI that deals with the interaction between computers and human language. NLP enables computers to understand and interpret human language, including speech and text, and respond appropriately.
  2. Machine learning: Machine learning is a type of AI that involves training a computer program to recognize patterns in data and make decisions based on that data. This can include supervised learning, where the program is trained on labeled data to make predictions or classifications, and unsupervised learning, where the program identifies patterns in data without any prior knowledge or labeling.
  3. Deep learning: Deep learning is a subset of machine learning that involves the use of neural networks, which are modeled after the structure and function of the human brain. These networks consist of layers of interconnected nodes that can process and analyze complex data, such as images, audio, or text.
  4. Robotics: Robotics is an area of AI that involves designing and programming robots to perform tasks autonomously. This can include tasks such as manufacturing, assembly, and transportation.
  5. Expert systems: Expert systems are AI programs that are designed to replicate the decision-making capabilities of human experts in a specific domain, such as medicine or finance. These systems use rules and logic to make decisions based on the available data.

wewe unajua mbili tu 😂😂
 
Ndio maana kuna kitu kinaitwa algorithms hiki ndicho robot linafanya, mfano ukiingia Google leo Google wameset marobot kwenye engine yao Yale marobot kazi yao ni kukuangalia wewe unapenda nini

Sasa utashangaa baada ya wiki utakua unaona Mambo yale unayoyapenda tu, yaan robot (Google bots) linapita linasanya kila angle za servers linakuletea info unazopenda kwenye browser yako iwe ads au info zozote Ila ni zile unapenda tu
unajua aina njia ngapi Al inaweza kufanya kazi ?

Tafuta elimu mtu wangu usisome kwa syllabus utapotea unajua mbili tu.

Tafuta elimu mtu sasa hizo Robot za Al zipo kitambo ...Mimi blockchain nimetumia mpaka kufanya miamala kule localbitcoin hata ukitaka nakuonyesha na hii Al kabisa
 
nitajie njia ambazo Al inaweza kufanya kazi nimebase kweny robotic ...

Rudi ukasome.👇

  1. Natural language processing: Natural language processing (NLP) is a branch of AI that deals with the interaction between computers and human language. NLP enables computers to understand and interpret human language, including speech and text, and respond appropriately.
  2. Machine learning: Machine learning is a type of AI that involves training a computer program to recognize patterns in data and make decisions based on that data. This can include supervised learning, where the program is trained on labeled data to make predictions or classifications, and unsupervised learning, where the program identifies patterns in data without any prior knowledge or labeling.
  3. Deep learning: Deep learning is a subset of machine learning that involves the use of neural networks, which are modeled after the structure and function of the human brain. These networks consist of layers of interconnected nodes that can process and analyze complex data, such as images, audio, or text.
  4. Robotics: Robotics is an area of AI that involves designing and programming robots to perform tasks autonomously. This can include tasks such as manufacturing, assembly, and transportation.
  5. Expert systems: Expert systems are AI programs that are designed to replicate the decision-making capabilities of human experts in a specific domain, such as medicine or finance. These systems use rules and logic to make decisions based on the available data.

wewe unajua mbili tu 😂😂
Mkuu acha ku goole.
Ulicho copy hapo kwa mtu anayejua AI anakuona tabla lasa.
Nimekuambia elezea kwa maneno yako
 
Robotics ndo point yangu wewe hujui.

Nakuuliza yule robot sophia katengenezwa kwa technology gani?

wewe Al umeijui mwaka jana mwezi wa 11 kupitia ChatGpt hamna lolote 😂😂😂.

Na robota za Al zipo zinafanya assemblingza magari viwandani.
 
Hujui tofauti ya automation na AI.
 
Hujui tofauti ya automation na AI.
😂😂😂Hamnazo! Turejea Artificial intelligence kwamba akili za bandia so wametengeneza akli za bandia kwa robot katika umbile ya binadamu ilo afanye kazi kama binadamu ila automatically.

Al inafanya kazi automatically katika muundo wa binadamu

mwalimu wako apitie asome hapa...
 
😂😂😂Hamnazo! Turejea Artificial intelligence kwamba akili za bandia so wametengeneza akli za bandia kwa robot katika umbile ya binadamu ilo afanye kazi kama binadamu ila automatically.

mwalimu wako apitie asome hapa...
Mkuu naona unaongea kufurahisha genge.
Ndio maana unaishia kusema akili bandia.
 
Screenshot_20230408-122447.png

.

Kama hautojali uwe unanifuatilia utajifunza huyo ticha wako anakupoteza Soma hapo google ...Ntkufundisha upya Al, blockchain na internet of things (IoT)
 
unajua aina njia ngapi Al inaweza kufanya kazi ?

Tafuta elimu mtu wangu usisome kwa syllabus utapotea unajua mbili tu.

Tafuta elimu mtu sasa hizo Robot za Al zipo kitambo ...Mimi blockchain nimetumia mpaka kufanya miamala kule localbitcoin hata ukitaka nakuonyesha na hii Al kabisa
Duuh mbon km unabisha baada ya kuelisha who don't know Coinbase? Ila basi maana naona unataka kubisha kitu kipo wazi nimekwambia soma algorithms hio ni topic km umesoma Computer Science au Computer Engineering soma humo, maana kuna sehemu nilikuona umejilanyaga nakurudisha kwenye reli unakuja unapuyanga
 
point ni robotics ndo mada naongelea Al nyingine zipo pia hamna tatizo nimegusia kwenye Robotic
 
wewe unazijua hizo njia Al inaweza kufanya kazi?
 
point ni robotics ndo mada naongelea Al nyingine zipo pia hamna tatizo nimegusia kwenye Robotic
We jamaa kwani Google bots ni nini? Emu tuanze hapo kwanza maana naona bado unapuyanga? What's Google bots? Usi-google
 
Back
Top Bottom