Computer ndio
Siri iliyo nyuma ya haya
Dunia inaenda kutawaliwa na marobot
Mfano mzuri Siri na Alexa hizo ni AI moja Google na moja Apple
Achia mbali hizo kuna AI la Microsoft na FB kwamba ukifa a/c yako itaendelea kufanya kazi ni robot lako sio wewe marehemu Ila litatumia picha yako na details zako zote
Utafika wakati marobot yataenda kuitawala dunia emu uwe unazingalia zile movie za Si-fi zinazohusu masuala ya AI
Anza na
Terminator 3: Rise of the Mashines (2003) Starring Arnold Schwarzenegger, Nick Stahl, Claire Danes, and Kristanna Loken
View attachment 2580422
AI ni Jambo zuri sana lakini katika kila kizuri kuna faida na hasara zake, AI ni
mfumo wa computer na unatengenezwa na mwanadamu ili uweze kujiendesha wenyewe bila kumtegemea mwanadamu na hufanyiwa updates na mwanadamu kila baada ya mda, AI ikijifunza inaweza kujifanyia updates yenyewe Ila kibaya ni pale mfumo unapopata attack ya namna yoyote mfano
virus akimuingia basi mfumo unaweza kufanya kinyume na kile kilichokusudiwa, ukiangalia hio movie ya
Terminator 3: Rise of the Mashines utakua umeelewa nazungumzia nini
Tafuta movie inaitwa
Prometheus (2012) kwenye hii movie kuna robot AI linaitwa
David sasa huyu David alichokifanya humo ndio utajua kua AI Ina faida pia Ina hasara
View attachment 2580443
Huyu ndio David (robot AI)
David kwenye hio movie na huyo Creator wake (alikua anamuita father) walienda kwenye Sayari nyingine kwa kigezo kwamba wanaenda kumtafuta alieumba wanadamu yaan
MUNGU, yaan Creator wa David aliamini kwamba
MUNGU yupo huko waende wakamuone
View attachment 2580417
Huko walipofika wakakutana na viumbe wa ajabu, huku na huku wote wakafa akabakia David tu ambae ni robot
David alipobaki akaanza kuumba viumbe kwa kutumia viumbe vya ajabu akichanganya na mabaki ya wanadamu yakatokea ma alien
View attachment 2580419
Muendelezo ulikua kwenye
Alien: Covenant (2017) humu wanasayansi wengine wanaenda tena kwenye hio Sayari wakiwa na David (robot AI) mwingine ambae yupo more modified kuliko yule wa zamani yaan yupo updated si unajua kuhus
Android kila baada ya mda inafanyiwa updates Ila yule David ambae alienda mwanzo hakufanyiwa updates zozote sababu alikua anaishi mwenyewe
View attachment 2580420
Basi walipofika wale David wawili wakaonana ni wanafanana Ila wote ni robots (AI) Ila yule aliefanyiwa updates ana akili kumzidi yule alietangulia, basi yule David wa mwanzo alietengeneza ma-aliens akaanza kuwashambulia wale waliokuja kimya kimya wakaanza kuuwawa
View attachment 2580421
Kumbe alikua anafanya research yaan robot linafanya research kuhusu mwanadamu, na lilikua na mkakati wa kutengeneza viumbe vipya na wanadamu wote wafyekelewe mbali mara watu wakaanza kufa baadae wakamshtukia kua huyu David wa zamani sio mzuri ngumi zikazuka kati David wa zamani na David mpya wakazipiga Ila David wa zamani alikua na technique mpya alizojibunia mwenyewe akamshinda David mpya Ila hakumuua (robot hafi labda afanye self destruct)
Baada ya hapo akaanza kuwafukuzia wale waliokuja ili awafanyanyie mbaya
Muendelezo wa
Alien: Covenant (2017) ulikua ni
Alien: Awakening (2019) Ila haikutoka mpaka leo haijaendelezwa ingawa ukifuatilia inaonekana ilishatengenezwa sababu za kutokutoka ni msigishano wa maudhui ya movie na watu wa dunia maana hio
Alien: Awakening (2019) David alikua amechukua chombo akiwa na viumbe wa ajabu (
aliens) anakuja Duniani kuiangamiza Dunia yote
AI ni nzuri Ila Ina faida na hasara zake robot lilikubadirikia au robot likichezesha viumbe vingine viingiliane na mfumo wa mwanadamu hapo kinazuka kiumbe Cha ajabu,
Naweka karamu chini...