Yes inaweza na ndivyo inavyofanyika.Kwa ilipofikia unaweza ukaiambia ikusomee kitabu na ikupe picha za matukio ya ndani ya kitabu hicho au ikuandalie movie inayo endana na hiyo story ya kitabu utakayo ipa isome!
Kwanini usitumie uwezo wako wote kufikiri ili uweze kuvumbua vitu? Tukubali kuwa bongo zetu zina uwezo mdogoHayo mambo tuyaona yanafanya na AI tunayaona makubwa kwakuwa hatujaweza kufikiri kwa kiwango hicho, ijapokuwa ni mambo naweza kusema madogo kama tukiweza kutumia sehemu nzima ya uwezo wetu wakufikiri
Upigaji picha utabaki sawa ila unategemea mauzo yatabaki sawa na yale ya 1988?.Tunapoelekea AI itaua sana ajira.
Upigaji picha utabaki mkuu.
Kwa mfano hata baada ya kuja kamera bado picha za kuchora kwa mkono zinavutia na watu tunazipenda.
Binadamu katika kufikiria ana capacity fulani kuna ile ya general ila kuna ya mmoja mmoja ila kwa uwezo wa juu kabisa binadamu ana limit katika kufikiria kwa vile ubongo unachoka tofauti na Al(wanachukua data sehemu nyingi) .Hayo mambo tuyaona yanafanya na AI tunayaona makubwa kwakuwa hatujaweza kufikiri kwa kiwango hicho, ijapokuwa ni mambo naweza kusema madogo kama tukiweza kutumia sehemu nzima ya uwezo wetu wakufikiri
Mkuu kati ya picha ta kupigwa na kuchora kwa mkono ya kupigwa ina quality kubwa sana lakini picha za kuchora kwa mkono inauzwa ghali na inavutia.Upigaji picha utabaki sawa ila unategemea mauzo yatabaki sawa na yale ya 1988?.
Wapiga picha wengi, mfano hawa tunaokuwepo kwenye mikutano na kuona wanauza picha chini, kwa teknolojia hiyo unadhani watafua dafu?.
Mtu unamwambia sichukui hard copy nataka softcopy hana hata laptop, huyo ataweza kuhimili game?.
ishamzidi hatuna ujanja ...Al ipo kweny stage ya kwanza hapo yanaongezwa mautundu kibao kama miaka 5 mbele ni hatariSiku moja Teknolojia itamzidi akili binadamu...
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Siri gani. Umeshindwa wewe.. kuna watu afrika wanaweza tengeneza ndege, mashine tofauti na n.k sema afrika uchawi umetawalaKwahiyo unafikiri kwamba hao wazungu wanatumia uwezo wa akili zao kufikiri? Mbona sisi Waafrika tumeshindwa? C'mon dude hao watu wana siri zao
Promo sasa hii mbona kuna kijana wa kitanzania anatengeneza solar. Endelea kushangaa vya wazungu.Angalia hii movie hadi mwisho, ukimaliza njoo tuongee.
Wow. WambieArtificial Intelligence imekuwa gumzo kutokana na majority walikuwa hawafahamu ni nini exactly.
Ni kama watu wamekurupushwa usingizini na kuona ni jambo geni machoni mwao..
AI ilikuwepo, ipo na itakuwepo kinacholeta utifauti ni Advancements tu.
Watu wana-copy and paste contents na kufanya shallow review ya nini ni nini..
Mfno: kwa watu wa graphics ile PS ni AI full.. Ishu ni kwamba je unajua kutumia AI ikupe unachotaka? Hilo swali ndio linaleta Advancement of AI kwamba iwe simple as possible ktk kusolve matatizo mbalimbali.
AI isiwatishe cha msingi ujue upo kundi lipi na unajipambanuaje.
Isiwezekane Kwa nini Kaka? Sema waafrika kila kitu huwa tunaamini haiwezekani na tunamuachia mungu. Kwa unavyodhani KIAFRIKA, kuku kupatikana bila kutagwa yai na kulaliwa ingewezekana?. Mbona Leo broila wapo na tunajua hawa kuku hawana tetea wala jogoo Kwa jins walivyopatikanaKwa uwezo wako wa kufikiria ebu tulia na uwaze kuunda kitu kama nyuklia ama risasi kwa akili ya kawaida inawezekana? Ndio maana tunabaki na majibu kuwa huo uwezo sio wa wanadamu wa kawaida
Mimi Nina wasiwasi pia kwenye Lishe πWatu weusi tukubali tu kuwa hatuwezi kuvumbua vitu kwann turejelee Misri ya kale? Akili zetu aidha ni zipo hivyo tokea mwanzo, au kuna vitu tuna-lack kweny bongo zetu
Hiyo sio nature ya AI...Binadamu katika kufikiria ana capacity fulani kuna ile ya general ila kuna ya mmoja mmoja ila kwa uwezo wa juu kabisa binadamu ana limit katika kufikiria kwa vile ubongo unachoka tofauti na Al .
Perfection ,Binadamu haweza kufanya kitu kikawa perfect kutokana na asili yake Al wanaweza kufanya moja kwa moja bila ya kupindisha ..
Level of respond ,Al anaweza kurespond fasta kama nervous system ya binadamu katika utendaji haswa ishu kama kujibu swali hili kwa akili za binadamu hatuna japo mfumo wa neva wa binadu unaweza
.
hizo ni baadhi ya features kweny Chatgpt haswa plus ambazo ni more advanced kuliko ya kawaida..Jaribu kufuatilia binadamu hawezi kufanya kazi kushinda na Al hata kidogo.Hiyo sio nature ya AI...
Mnaifanya AI iwe kama vile ni lijitu laajabu sana wakati a single parameter inaweza kukulisha matango pori.
Please usilete udini mkuu maana naona unapotaka kuelekea, promo ya kitu gani?, Why usianzishe uzi wa huyo mwanao aliyeunda solar?.Promo sasa hii mbona kuna kijana wa kitanzania anatengeneza solar. Endelea kushangaa vya wazungu.
umejikuta mwamba kuchanganya kiswahili na kingereza. Lugha yako tatizo ya kigeni ndo kabisa. Tulizana hoja yako ni finyu sana. Udini umeuona wapi. Funga sehemu ya maoni basi .Please usilete udini mkuu maana naona unapotaka kuelekea, promo ya kitu gani?, Why usianzishe uzi wa huyo mwanao aliyeunda solar?.
Point yetu kubwa hapa ni "Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3"
If you don't understand please pita kushoto, we're not together on this π!.