Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja.

Kwa mfano katika muundo unaokimbia sasa hivi ni Artificial Intelligence (AI) inaweza kufanya kitu unachowaza au kubuni kitu zaidi hata kuliko mtu aliyekaa kwenye kiti akiwa na computer akijenga picha na kuipa nakshi.

AI inaweza kukufanyia hiyo kazi kwa muda mfupi na kwa ubora mkubwa kuliko wako.

Kwanza angalia hizi picha hapa 👇🏾 ni kazi ya AI na ahkuna mkono wa mtu hapo.
20230407_001609.jpg

20230407_192646.jpg

Mpaka hapo nikawakumbuka jamaa zangu wapiga picha akiwepo jamaa yangu mmoja yupo Dodoma, kwamba itakuwaje kwa hali hii kama hatajiongeza kufikilia kuwa mkulima'?.

20230407_001526.jpg

20230407_192618.jpg

Kumbuka kila siku kabla jua alijachomoza kuna ujuzi mpya, wakati sisi tunafikilia kuomba msaada wa kujenga choo, wenzetu wanatumia AI aweze kufanya ujenzi wa tunnel la kuhifazia uchafu wako.

IMG_20230407_192933.jpg

Nilimaliziavkwa kusoma moja ya komenti ya mdau pale kwenye space akiuliza...
Screenshot_2023_0407_194951.jpg

Wataalam wetu sijui wako wapi? naishia hapa ila naiwaza kesho.

==============

Wakuu naongezea na hii sinema, ukiweza kuangalia hadi mwisho utaelewa, nimeiweka hapa kutokana na maswali kutoka kwa wadau.
 
Kwahiyo unafikiri kwamba hao wazungu wanatumia uwezo wa akili zao kufikiri? Mbona sisi Waafrika tumeshindwa? C'mon dude hao watu wana siri zao
Kila kitu kina siri na ukijua siri lazima uwe msiri, dunia inaendeshwa na mfumo na sio kwamba watu weusi wameshindwa hapana, mfumo uliopo hautambui au kuwapa nafasi watu weusi. Rejelea watu wa jamii ya misri ya kale waliyoyafanya katika nyakati hizo.
 
Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja.

Kwa mfano katika muundo unaokimbia sasa hivi ni Artificial Intelligence (AI) inaweza kufanya kitu unachowaza au kubuni kitu zaidi hata kuliko mtu aliyekaa kwenye kiti akiwa na computer akijenga picha na kuipa nakshi.

AI inaweza kukufanyia hiyo kazi kwa muda mfupi na kwa ubora mkubwa kuliko wako.

Kwanza angalia hizi picha hapa [emoji1484] ni kazi ya AI na ahkuna mkono wa mtu hapo.
View attachment 2580010

View attachment 2580013

Mpaka hapo nikawakumbuka jamaa zangu wapiga picha akiwepo jamaa yangu mmoja yupo Dodoma, kwamba itakuwaje kwa hali hii kama hatajiongeza kufikilia kuwa mkulima'?.

View attachment 2580018

View attachment 2580022
Kumbuka kila siku kabla jua alijachomoza kuna ujuzi mpya, wakati sisi tunafikilia kuomba msaada wa kujenga choo, wenzetu wanatumia AI aweze kufanya ujenzi wa tunnel la kuhifazia uchafu wako.

View attachment 2580030
Nilimaliza kusoma moja ya komenti ya mdau pale kwenye space ikiuliza...
View attachment 2580044

Wataalam wetu sijui wako wapi?, naishia hapa ila naiwaza kesho.
Kwa ilipofikia unaweza ukaiambia ikusomee kitabu na ikupe picha za matukio ya ndani ya kitabu hicho au ikuandalie movie inayo endana na hiyo story ya kitabu utakayo ipa isome!
 
Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja.

Kwa mfano katika muundo unaokimbia sasa hivi ni Artificial Intelligence (AI) inaweza kufanya kitu unachowaza au kubuni kitu zaidi hata kuliko mtu aliyekaa kwenye kiti akiwa na computer akijenga picha na kuipa nakshi.

AI inaweza kukufanyia hiyo kazi kwa muda mfupi na kwa ubora mkubwa kuliko wako.

Kwanza angalia hizi picha hapa 👇🏾 ni kazi ya AI na ahkuna mkono wa mtu hapo.
View attachment 2580010

View attachment 2580013

Mpaka hapo nikawakumbuka jamaa zangu wapiga picha akiwepo jamaa yangu mmoja yupo Dodoma, kwamba itakuwaje kwa hali hii kama hatajiongeza kufikilia kuwa mkulima'?.

View attachment 2580018

View attachment 2580022
Kumbuka kila siku kabla jua alijachomoza kuna ujuzi mpya, wakati sisi tunafikilia kuomba msaada wa kujenga choo, wenzetu wanatumia AI aweze kufanya ujenzi wa tunnel la kuhifazia uchafu wako.

View attachment 2580030
Nilimaliza kusoma moja ya komenti ya mdau pale kwenye space ikiuliza...
View attachment 2580044

Wataalam wetu sijui wako wapi?, naishia hapa ila naiwaza kesho.
Tunapoelekea AI itaua sana ajira.
Upigaji picha utabaki mkuu.
Kwa mfano hata baada ya kuja kamera bado picha za kuchora kwa mkono zinavutia na watu tunazipenda.
 
binadamu hana uwezo huo unao ufikiria wewe. kuna msaada wa creations nyingine ndio unaleta haya mapinduzi ya technology

Ongeza nyama kidogo mkuu, hizo creations nyingine zinatoka wapi? wana maumbo kama binadamu? na kwanini wanaenda kwa ngozi nyeupe tu?
 
Huu Uzi na nyingine kama hizi hazina wachangiaji wengi sana unajua kwanini?
My guess ni kwamba hatutaki kufikirisha vichwa, huwezi kufikirisha kichwa wakati unasikia kuna tilioni kadha wa kadha za serikali hazijilikani zilipo. Ndiyo maana wengi tunajikuta tunataka mambo mepesi kama vile story za kimbea na ugomvi siku iishe...tupo ndani ya mduara.

Mada yako siyo kama watu hawana hoja lakini watu wanaona why trouble?

Serikali inaumiza afya ya akili ya watu wengi sana kwa kujua au kutokujua.

Anyway, kuna mtu siku moja alituma video ktk ticktock akitupa majibu jinsi alivyoiomba Al imchoree image za malaika . Ikampa na hapa umetuomesha picha tofauti tofauti.

Ninachokiona si ajira tu za watu ila kutakuja kutokea tatizo kubwa sana iwapo Roboti/ Al akiweza ku operate on his own command. Yaani unaweza uka command akupe picha ya Asia yeye ajibu kuwa ya Asia siyo nzuri tumia hii au aseme kuwa yeye ameipenda picha fulani akulazimishe wewe uitumie hiyo aliyoipenda maana yake machine itakuwa conscience na hapo itakuwa begining of the end ya AI au ya humanity nafkiri ushawai check movie za terminator, Megan etc.

So naona ajira ni kitu kidogo sana kwa sababu technology ya simu imeua kazi za mafundi saa, wapiga picha imebidi wawe na studio na kamera za kisasa na software za adobe etc, biashra ya flash imepungua yaani ni kama vile mwendo Kasi utavyo leta balaa kwa makonda wa daladala hapo mbeleni...
 
Hujasema wewe. Jamii forum tu pamoja n kujaa wasomi kila siku nyuzi za kugegedana tu. Muafrika unamuona timamu kweli?
Kwa uwezo wako wa kufikiria ebu tulia na uwaze kuunda kitu kama nyuklia ama risasi kwa akili ya kawaida inawezekana? Ndio maana tunabaki na majibu kuwa huo uwezo sio wa wanadamu wa kawaida
 
Kila kitu kina siri na ukijua siri lazima uwe msiri, dunia inaendeshwa na mfumo na sio kwamba watu weusi wameshindwa hapana, mfumo uliopo hautambui au kuwapa nafasi watu weusi. Rejelea watu wa jamii ya misri ya kale waliyoyafanya katika nyakati hizo.
Watu weusi tukubali tu kuwa hatuwezi kuvumbua vitu kwann turejelee Misri ya kale? Akili zetu aidha ni zipo hivyo tokea mwanzo, au kuna vitu tuna-lack kweny bongo zetu
 
Back
Top Bottom