Kwa timu ile ajibu akiwa staa na ubingwa tunabebaNaona Ajibu anashangiliwa Sana. Yes. Hata sisi tulipokuwa wabovu Ajibu huyuhuyu ndio alikua Star wetu wa timu.
Huwezi kuwa na timu nzuri halafu Ajibu akawa Star, HAIWEZEKANI. Ukiona Ajibu anasifiwa Sana kwamba anaibeba timu jua shuhuli imeisha!
#Njoeni mnipige nipo hapa mitaa ya Jangwani
Ni kwa sababu walishajua msimu huu timu yao itakuwa mbovu, hivyo Ajib atageuka na kuwa mkombozi wao.
Sababu Simba iliamua kuachana na "biashara za jumla" ikahamia kwenye "reja reja"
Simba ilimng'oa Ajibu zaidi ya miaka miwili imepita, je Simba ilikuwa mbovu? Na kuambia hata sasa Simba ni nzuri, Yanga haina sub wa kutosha, ngoja ligi ichanganyeNi kwa sababu walishajua msimu huu timu yao itakuwa mbovu, hivyo Ajib atageuka na kuwa mkombozi wao.
Wewe kweli mpira haufatilii. Feisal ategemewi tena kwenye kiungo, feisal shughuli yake siku hizi ni mbele huko kwenye ushambuliaji. Anachezewa namba 10 huku viungo kuna Bangala, Aucho , Mukoko, na hata Farid Musa alipangwa kwenye nafasi ya kiungo.Hakuna tofauti na Feisal maana tangu ajiunge hapo yanga huwa anaibeba yanga mbovu .Kwa hiyo kama mtaendelea kumtegemea Feisal kama kiungo wenu mjue hamna timu hapo.
Kama mnabisha rejeeni mechi dhidi ya Rivers utd au kule Afcon alivyokuwa anaruka ruka tu.
[emoji23]watakuua kweli Makolo hawana dogo[emoji1787]Na hiyo ndio rekodi ya Ajibu kuwa ni star katika timu mbovu tu
Na mm nipo Huku Mbagala Zakhiem njooni mniue
Tangu lini ajibu akawa star wa timu na timu ikachukua ubingwa[emoji851]Kwa timu ile ajibu akiwa staa na ubingwa tunabeba
[emoji16][emoji16][emoji16]eti ngoja ligi ichanganye...sasa ligi ikichanganya si ndo mtachanginyikiwa zaidi!!!Simba ilimng'oa Ajibu zaidi ya miaka miwili imepita, je Simba ilikuwa mbovu? Na kuambia hata sasa Simba ni nzuri, Yanga haina sub wa kutosha, ngoja ligi ichanganye
HILI NALO NENO JAPO MAKOLO WATAKUJIA JUU KAMA MOTO WA KIFUU,AJIBU NDO STAR WA MAKOLO? KWELI MAISHA YANAENDA KASI SANA.Naona Ajibu anashangiliwa Sana. Yes. Hata sisi tulipokuwa wabovu Ajibu huyuhuyu ndio alikua Star wetu wa timu.
Huwezi kuwa na timu nzuri halafu Ajibu akawa Star, HAIWEZEKANI. Ukiona Ajibu anasifiwa Sana kwamba anaibeba timu jua shuhuli imeisha!
#Njoeni mnipige nipo hapa mitaa ya Jangwani
Mada haijasema Yanga ni bora, bali inakumbusha tu kuwa timu ikiwa inamuimba Ajib kama ni mkombozi wao, ujue hiyo timu imefilisika. Hili lipo wazi mbona, Yanga ilipomuona Ajib kama mkombozi, Yanga ilikuwa mbovu kiasi kwamba Ajib ndio tegemeo lao.Hadi mda huu sijaona ubora wa Yanga, na sijajua wanatumia statistics zipi. Na kama zipo kwa uwiano gani yaani ligi haina hata wiki. 1/30,2/30,3/30,4/30. Uwiano huu huwezi kuijua rangi halisi ya kinyonga.
Feisali sio tegemezi kwenye timu japo mchango wake ni muhimu na tuna uheshimu[emoji122][emoji122][emoji122]Hakuna tofauti na Feisal maana tangu ajiunge hapo yanga huwa anaibeba yanga mbovu .Kwa hiyo kama mtaendelea kumtegemea Feisal kama kiungo wenu mjue hamna timu hapo.
Kama mnabisha rejeeni mechi dhidi ya Rivers utd au kule Afcon alivyokuwa anaruka ruka tu.