Tulipokuwa wabovu Ajibu alikuwa Star wetu pia

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,395
Reaction score
3,177
Naona Ajibu anashangiliwa Sana. Yes. Hata sisi tulipokuwa wabovu Ajibu huyuhuyu ndio alikua Star wetu wa timu.

Huwezi kuwa na timu nzuri halafu Ajibu akawa Star, HAIWEZEKANI. Ukiona Ajibu anasifiwa Sana kwamba anaibeba timu jua shuhuli imeisha!

#Njoeni mnipige nipo hapa mitaa ya Jangwani
 
Kwa timu ile ajibu akiwa staa na ubingwa tunabeba
 
Hakuna tofauti na Feisal maana tangu ajiunge hapo yanga huwa anaibeba yanga mbovu .Kwa hiyo kama mtaendelea kumtegemea Feisal kama kiungo wenu mjue hamna timu hapo.
Kama mnabisha rejeeni mechi dhidi ya Rivers utd au kule Afcon alivyokuwa anaruka ruka tu.
 
Hadi mda huu sijaona ubora wa Yanga, na sijajua wanatumia statistics zipi. Na kama zipo kwa uwiano gani yaani ligi haina hata wiki. 1/30,2/30,3/30,4/30. Uwiano huu huwezi kuijua rangi halisi ya kinyonga.
 
Wewe kweli mpira haufatilii. Feisal ategemewi tena kwenye kiungo, feisal shughuli yake siku hizi ni mbele huko kwenye ushambuliaji. Anachezewa namba 10 huku viungo kuna Bangala, Aucho , Mukoko, na hata Farid Musa alipangwa kwenye nafasi ya kiungo.
 
Simba ilimng'oa Ajibu zaidi ya miaka miwili imepita, je Simba ilikuwa mbovu? Na kuambia hata sasa Simba ni nzuri, Yanga haina sub wa kutosha, ngoja ligi ichanganye
[emoji16][emoji16][emoji16]eti ngoja ligi ichanganye...sasa ligi ikichanganya si ndo mtachanginyikiwa zaidi!!!
 
Naona Ajibu anashangiliwa Sana. Yes. Hata sisi tulipokuwa wabovu Ajibu huyuhuyu ndio alikua Star wetu wa timu.

Huwezi kuwa na timu nzuri halafu Ajibu akawa Star, HAIWEZEKANI. Ukiona Ajibu anasifiwa Sana kwamba anaibeba timu jua shuhuli imeisha!

#Njoeni mnipige nipo hapa mitaa ya Jangwani
HILI NALO NENO JAPO MAKOLO WATAKUJIA JUU KAMA MOTO WA KIFUU,AJIBU NDO STAR WA MAKOLO? KWELI MAISHA YANAENDA KASI SANA.
 
Hadi mda huu sijaona ubora wa Yanga, na sijajua wanatumia statistics zipi. Na kama zipo kwa uwiano gani yaani ligi haina hata wiki. 1/30,2/30,3/30,4/30. Uwiano huu huwezi kuijua rangi halisi ya kinyonga.
Mada haijasema Yanga ni bora, bali inakumbusha tu kuwa timu ikiwa inamuimba Ajib kama ni mkombozi wao, ujue hiyo timu imefilisika. Hili lipo wazi mbona, Yanga ilipomuona Ajib kama mkombozi, Yanga ilikuwa mbovu kiasi kwamba Ajib ndio tegemeo lao.

Simba ilipokuwa bora, Ajib alikuwa hana nafasi kabisa kwenye timu ya Simba kwasababu kuna wachezaji walikuwa wanakiwasha zaidi yake ila leo Ajib kwenye Simba hii ndio anaonekana mtu haswa. Je kiwango chake kimekuwa zaidi ya misimu ya nyuma alipokuwa Simba? Au ndio yeye kwenye orodha ya vilaza wa Simba, ndiye mchezaji mwenye unafuu?
 
Hakuna tofauti na Feisal maana tangu ajiunge hapo yanga huwa anaibeba yanga mbovu .Kwa hiyo kama mtaendelea kumtegemea Feisal kama kiungo wenu mjue hamna timu hapo.
Kama mnabisha rejeeni mechi dhidi ya Rivers utd au kule Afcon alivyokuwa anaruka ruka tu.
Feisali sio tegemezi kwenye timu japo mchango wake ni muhimu na tuna uheshimu[emoji122][emoji122][emoji122]

Tangu ligi ianze mashabiki wa Yanga tumekoshwa na wachezaji wengi kwenye kikosi kama Bangala[emoji772][emoji91],Aucho[emoji772][emoji91],Moloko[emoji91],kipa Diara[emoji772],Djuma[emoji772],Feisal mwenyewe [emoji772][emoji91]

Lkn Makolo tangu kila mchezaji mnamtukana[emoji2959] kwa mara ya kwanza jana ndo mmepata mchezaji wa kuturingishia,eti AJIBU[emoji16]
 
Back
Top Bottom