Tuliposema Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi tulipuuzwa, Sasa angalia hii

Tuliposema Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi tulipuuzwa, Sasa angalia hii

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hana uwezo wa kufanya mkutano bila kusomba watu

Screenshot_2024-08-10-17-16-41-1.png
 
Inaelekea kuna ulegevu sana huko wa kutekeleza na kusimamia sera na ilani ya chama katika kuletea wananchi maendeleo. Na takwimu za kiuchumi zinaonyesha hivyo kwa mkoa Kagera. Bila shaka Komredi Nchimbi anataka kusisitiza juu ya hilo kwa watumishi wote.

Ni suala zuri angalau kama amechelewa sana kulianzisha.
 
Hana uwezo wa kufanya mkutano bila kusomba watu

View attachment 3066226
Ndugu Pascal Mayalla na Petro E. Mselewa wanasheria wakongwe na wengineo nisiowafahamu naomba msaada wenu kisheria juu ya hili tamko ikiwa Mimi mtumishi wa umma nitashindwa kuhudhuria mkutano huu naweza kuadhibiwa Kwa sheria ipi? Na je inaruhusiwa jambo hili kisheria kumlazimisha mtumishi wa umma kutumia garama zake Kwa ulazima kama huu kuhudhuria mambo yasiyo mhusu?


Natanguliza shukrani zangu za dhati!!
 
Back
Top Bottom