Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha kazi ipoKuacha shughuli za kiserikali kwenda kwenye shughuli za kichama tena kwa lazima ndiomaana wameweka na daftari la mahudhurio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kazi ipoKuacha shughuli za kiserikali kwenda kwenye shughuli za kichama tena kwa lazima ndiomaana wameweka na daftari la mahudhurio
Intimidating working claaa for political gain.Shida ipo kwenda kwa lazima
Ndiyo sawa kabisa, waelewe wanaifanyia kazi serikali iliyoundwa na CCM, asiyetaka kuja na awache kazi.Kuacha shughuli za kiserikali kwenda kwenye shughuli za kichama tena kwa lazima ndiomaana wameweka na daftari la mahudhurio
Duuuh! Ujinga kipajiNdiyo sawa kabisa, waelewe wanaifanyia kazi serikali iliyoundwa na CCM, asiyetaka kuja na awache kazi.