Tuliposema Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi tulipuuzwa, Sasa angalia hii

Tuliposema Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi tulipuuzwa, Sasa angalia hii

Ndugu Pascal Mayalla na Petro E. Mselewa wanasheria wakongwe na wengineo nisiowafahamu naomba msaada wenu kisheria juu ya hili tamko ikiwa Mimi mtumishi wa umma nitashindwa kuhudhuria mkutano huu naweza kuadhibiwa Kwa sheria ipi? Na je inaruhusiwa jambo hili kisheria kumlazimisha mtumishi wa umma kutumia garama zake Kwa ulazima kama huu kuhudhuria mambo yasiyo mhusu?

Natanguliza shukrani zangu za dhati!!
Hawana cha kukufanya, Jumamosi siku ya mapumziko, watu wanafanya shughuli zao binafsi, waulize kama watakulipa fidia kwenye hasara utakayopata shughulini kwako?
 
😹😹😹 aiseee!!
Mpaka kwenye kuchakachua kura hao hao wanatumika, basi wawatazame kwa jicho la huruma.!
Tayari tushatazamwa, ni tunasubiria tu jambo letu (pekeji)....😹😹

images (18).jpeg
 
Ndugu Pascal Mayalla na Petro E. Mselewa wanasheria wakongwe na wengineo nisiowafahamu naomba msaada wenu kisheria juu ya hili tamko ikiwa Mimi mtumishi wa umma nitashindwa kuhudhuria mkutano huu naweza kuadhibiwa Kwa sheria ipi? Na je inaruhusiwa jambo hili kisheria kumlazimisha mtumishi wa umma kutumia garama zake Kwa ulazima kama huu kuhudhuria mambo yasiyo mhusu?

Natanguliza shukrani zangu za dhati!!
Figisu Act of Tanzania.

Vinginevyo sio kosa!
 
Inaelekea kuna ulegevu sana huko wa kutekeleza na kusimamia sera na ilani ya chama katika kuletea wananchi maendeleo. Na takwimu za kiuchumi zinaonyesha hivyo kwa mkoa Kagera. Bila shaka Komredi Nchimbi anataka kusisitiza juu ya hilo kwa watumishi wote.

Ni suala zuri angalau kama amechelewa sana kulianzisha.
Iko vizuri kwenye propanda.
Kama hao CCM hawajakuona wajitafakari.

ILA MIMI WASINGELINIONA KWENYE HUO MKUTANO.
 
Back
Top Bottom