Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kazi iendelee
Aibu sanaHii nchi hii
Mwenye akili hawezi kwenda kwenye mikutano ya CCM, wanaenda wanaokula kwa mgongo wa CCM.
CCM ni chama Tawala lazima waende ๐ผMwenye akili hawezi kwenda kwenye mikutano ya CCM, wanaenda wanaokula kwa mgongo wa CCM.
Huna hata aibuKawaida
Hawa hamnazo kabisa akili vinyesi
Ndugu Pascal Mayalla na Petro E. Mselewa wanasheria wakongwe na wengineo nisiowafahamu naomba msaada wenu kisheria juu ya hili tamko ikiwa Mimi mtumishi wa umma nitashindwa kuhudhuria mkutano huu naweza kuadhibiwa Kwa sheria ipi? Na je inaruhusiwa jambo hili kisheria kumlazimisha mtumishi wa umma kutumia garama zake Kwa ulazima kama huu kuhudhuria mambo yasiyo mhusu?
Wewe ndio huna aibu ๐ผHuna hata aibu
Hawajakosea, walimu ni hirizi za ccm ๐นHapo walengwa wakuu waalimu ๐๐
Waalimu wa nchi hii sijui wamewakosea nini watawala?
wenye kupata mkate wao kutoka ccm siyo wengine, in particular wanaojilewa!CCM ni chama Tawala lazima waende ๐ผ
Wanabembeleza watu hadi sasa wanagomaHivi hatujapata Makamu Mwenyekiti wa Chama?
Wakatoe maelezo ya utekelezaji wa Ilani ya Chama kilichopo madarakani.CCM ni chama Tawala lazima waende ๐ผ