Tuliposema Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi tulipuuzwa, Sasa angalia hii

Kuacha shughuli za kiserikali kwenda kwenye shughuli za kichama tena kwa lazima ndiomaana wameweka na daftari la mahudhurio
Ndiyo sawa kabisa, waelewe wanaifanyia kazi serikali iliyoundwa na CCM, asiyetaka kuja na awache kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…