Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea

Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika

Mara mgongo,mara miguu,mara kifua

Uzeeuna changamoto zake
 
Hapa panauma ...hapa panawasha..
 
CCM imekata pumzi imeanza kuvuruga tu kwani haina wanasiasa wote wameisha.
 
CCM mambo magumu wanataka wamtoe kafara
 
Atakuja yule wa "Wapigwe Tu"
 
Mzee anasumbuliwa na bawasiri, tezi dume na mapafu yamejaa maji.
 
Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani

Akismama jukwaani akaona mashati ya rangi ya makabichi, anakumbukia ujana wake. Anakumbuka anao mdomo na anaxahau mdomo pia unachoka. Haoni wenzake - kina Warioba & Co. wamejipumzikia wanamwaga buxara zao waTz tunaburdika!
Lkn pia, kw chama chke kukoxa m2 hadi kumwona yy anawafaa, reflects the kind of management currently making the decisions we see affecting our lives. Pathetic, is all I can say.
 
Acha upumbavu, we unajua aliko sahivi? Mbn mmejaa uchuro? Kamchurie babako we bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…