Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

ha h aha haa
wale jamaa hawanaga hizi mbanga za kudanganyanmpaka uzeeni, wakifika miaka 60 unakuta wanaimba tenzi na kusali sana, huyu jamaa labda ni "masalia"
Atakuwa mmoja wa wale waliotaka Kwenda Ulaya bila ticket!
 
Ni maisha yake mkuu.
Maybe hajatosheka na mpunga,
au tuseme sifa
au tuseme mchango kwa jamii ...

Mfano Mimi nipo na umri Mdogo Sana Ila tiar nishaanza kujipumzisha... On my 30s and staki kukimbizana ...

So ni maisha yake mze.
Safi kabisa,tutafika mbali,unaacha huku unakumbukwa!
 
Yule mwingine mwenyesifa za kuchoma masoko na kupakazia Chadema kuleta virusi nae kimya au yupo Songea kupuliza sumu kwenye Ofisi za Chadema?
Ahahahaaa yule hana mvuto wowote, single zake zote hazijauzika anajaribu kutafuta msaa wa tungo zingine
 
Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea

Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika

Mara mgongo,mara miguu,mara kifua

Uzeeuna changamoto zake
Manaaake Kwanza Ncheke..
 
Wewe ndiyo nimekuelewa sasa hapo ulipoweka ushahidi wa kukosekana kwake kwenye msiba wa MSUYA🤔?? Huenda kweli kunashida. Tumuombee afya njema huko aliko, asingekosa kwenye msiba ule mzigo.

Babu atakuwa anaumwa, zile ziara sio mchezo, mtu atoke Bukoba mpaka Katavi na anahutubia, protokali kibao na mzee wa miaka 80, lazima mwili utakataa.

Mwili unakataa, akili inakataa moyo unatamani. Ndio adha ya uzee hiyo. 😁
 
Wanawapoza wenye sauti wanajua hawana muda mrefu lakini wasipowapoza kwa vyeo itaonekana wameteka chama.

Usishangae akateuliwa Butiku nafasi ya makamu mwenyekiti baada ya Wasira.
Hawawataki vijana ambao bado wana ndoto nyingi
 
Hawawataki vijana ambao bado wana ndoto nyingi
Hahaha be careful for what you are wishing for...akipewa Madelu mtakufa sana.
Kumbuka alipikuwa waziri wa Mambo ya ndani alichofanya MKIRU?

Watu wamemsahau Mpina mzee wa rula akiwa waziri wa mifugo na uvuvi, alichoma nyavu za watu sana, alitaifisha mifugo.

Sio kila kijana ni malaika, yapo ma nyang'au.

Labda apeww Fr.Kitima tutasalimika.

Kuna vijana wanaroho mbaya na wabinafsi sana wakiteuliwa wanajuona ni bora kuliko kila binadamu humu nchini na wanaanza kuiba, kudhulumu kutuumiza na kutukomoa.

Mifano mingi, makamba, Nape, Makonda, Sabaya, n.k
 
Hao wote ni wanyama kwenye sura za watu
 
Kuna vijana wanaroho mbaya na wabinafsi sana wakiteuliwa wanajuona ni bora kuliko kila binadamu humu nchini na wanaanza kuiba, kudhulumu kutuumiza na kutukomoa.📌🔨
 
wasira nchimbi makalla, kweli wakiendeshe chama kweli? kwanza wote wana historia ya kushindwa uchaguzi kwahiyo sio watu makini kuweka strategy za ushindi.

ila tunajua nani yuko nyuma ya hawa watu, hizi ni screen kuna mtu ameshika remote
UNAJUA KATI YA ULIOWATAJA HAPO KUNA MMOJA SI KWAMBA ATAONGOZA CHAMA BALI NI MAKAMU WA RAISI CETRIS PERIBUS
 
Back
Top Bottom