Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
nisaidieni ndugu zangu, nifanyeje nisiwe ninaziona threads za Lucas Chawa🙃😏
MAKUFURU YA HV HV NDIO YALIMWONDOA MAGU. NA HUYU ATATEMBEA 2 SOONNdugu yangu, mtu anasema watakaa madarakani mpaka Yesu arudi kana kwamba Bwana Yesu ndo alianzisha CCM. Bwana Yesu na mavyama wapi na wapi? Ngoja tuone kama Bwana Yesu ataamua nini?
Wakuitwa Tayson vipi kwani???Mzee mwenyewe hajui kujenga hoja ni mwendo wa majibu ya jeuri tu
Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea
Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika
Mara mgongo,mara miguu,mara kifua
Uzeeuna changamoto zake
Hawakuwa wanataka mjenga hoja.Mzee mwenyewe hajui kujenga hoja ni mwendo wa majibu ya jeuri tu
Haiwezi tokea hiiWanawapoza wenye sauti wanajua hawana muda mrefu lakini wasipowapoza kwa vyeo itaonekana wameteka chama.
Usishangae akateuliwa Butiku nafasi ya makamu mwenyekiti baada ya Wasira.
Bofya jina lake halafu bofya "Ignore"nisaidieni ndugu zangu, nifanyeje nisiwe ninaziona threads za Lucas Chawa🙃😏
😂 HahahaaaaBabu karusha taulo! 😁
Hii ndiyo CCM na sasa wanataka kumrudisha Mze mwingine (Pius Msekwa) achukue nafasi ya Wassira.Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea
Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika
Mara mgongo,mara miguu,mara kifua
Uzeeuna changamoto zake
Mzee yuko zake Apollo anapata dozi ya tezi dume.Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea
Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika
Mara mgongo,mara miguu,mara kifua
Uzeeuna changamoto zake