Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea

Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika

Mara mgongo,mara miguu,mara kifua

Uzeeuna changamoto zake
Mnataka akishuka jukwaniaingiwe kwenye jeneza?
lini atakaa na wajukuu zake awafundishe utu, kusema ukweli, kuwa na hesham dhidi ya wenye mtazamo tofauti, kutoa funghu la kumi, kuhehimu dini zingine hata kama yeye hana dini?
 
Dini anayo wa Jumamosi huyu,ingawa mjinga!
 
Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea

Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika

Mara mgongo,mara miguu,mara kifua

Uzeeuna changamoto zake
Bora wangemchagua CDMsuya
 
Wamemtoa kafara baby wa watu Ili wafanye yao wanayoyajua!!

Wanna wengi sana mjue!!
 
Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea

Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika

Mara mgongo,mara miguu,mara kifua

Uzeeuna changamoto zake
Yupo kwa waganga ana chaji mkuu akitoka huko utaona moto wake, CCM bila ushirikina ni sawa na gari bila mafuta
 
Hata screpa linaitwa chuma

usimwone mtu kafikia umri ule na bado anaaminika ukachukulia simple,

Yan hata TAL akifikia umri ule na bado anaaminika bas atakuwa na bidii Sana. .. si unaona mbowe alivo loose popularity gafla gafla ?
 
Wasira anaaminika katika nini ?

Kukosa maono umri wa miaka 80 unalazimisha mambo na kukubali teuzi na mwisho unafia majukwaani .

Angekuwa baba yako ungetafsiri vipi
 
Mzee wa kwako yuko wapi, si mpumbavu km we msukule uliyejificha nyuma ya keyboard? Huyo mzee amefanya makubwa nchi hii we utazikwa km panya. Km kuumwa ht we utaumwa, mbwa koko wewe
Makubwa gani? Alijenga jengo la Bunge au Ikulu?. Ana nini cha ajabu kumzidi JAJI WARIOBA?, huyu mzee ni mpuuzi kwa umri wake alipaswa kuwa mshauri mzuri kwa manufaa ya Taifa na sio juso lake aloo!!.
 
Wasira anaaminika katika nini ?

Kukosa maono umri wa miaka 80 unalazimisha mambo na kukubali teuzi na mwisho unafia majukwaani .

Angekuwa baba yako ungetafsiri vipi

Ni maisha yake mkuu.
Maybe hajatosheka na mpunga,
au tuseme sifa
au tuseme mchango kwa jamii ...

Mfano Mimi nipo na umri Mdogo Sana Ila tiar nishaanza kujipumzisha... On my 30s and staki kukimbizana ...

So ni maisha yake mze.
 
Mnataka akishuka jukwaniaingiwe kwenye jeneza?
lini atakaa na wajukuu zake awafundishe utu, kusema ukweli, kuwa na hesham dhidi ya wenye mtazamo tofauti, kutoa funghu la kumi, kuhehimu dini zingine hata kama yeye hana dini?
Huyo anaandaliwa kutolewa kafara ili kupunguza fukuto la ndani ya CCM maana hakuko shwari kabisa.
 
Back
Top Bottom