Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

Kweli bwana! Babu hajaonekana kitambo, hata kwa Msuya hakuwepo. Babu wa watu tia maji, tia maji wanataka tuu, kumuua kumkalisha kwenye ma V8 kumzungusha nchi nzima hii. Full mikutano aisee.
Nchi kubwa hii, tuache utani jameni. ๐Ÿ˜„
 
Si wamesema hawataki kufa mpaka uchaguzi upite
Yaani rufaa kwa wenye uongozi tu
Astaghfirullah
 

Wasira alishasema wanaosema yeye ni Mzee, mpelekee dada yako, alafu awaletee jibu kama ni mzee au la.
 
Mzee kapata maradhi ya kideli ama kifadulo nini!?
 

nimesikia wanataka kumtoa ndagu, kimbola la kushinda uchafuzi
 
WAPI huko kachemka?
 
Kweli bwana! Babu hajaonekana kitambo, hata kwa Msuya hakuwepo. Babu wa watu tia maji, tia maji wanataka tuu, kumuua kumkalisha kwenye ma V8 kumzungusha nchi nzima hii. Full mikutano aisee.
Nchi kubwa hii, tuache utani jameni. ๐Ÿ˜„
Wewe ndiyo nimekuelewa sasa hapo ulipoweka ushahidi wa kukosekana kwake kwenye msiba wa MSUYA๐Ÿค”?? Huenda kweli kunashida. Tumuombee afya njema huko aliko, asingekosa kwenye msiba ule mzigo.
 
Marehemu wasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ