Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Jenga Hoja acha mihemko,kwani sio Mzee!Mzee wa kwako yuko wapi, si mpumbavu km we msukule uliyejificha nyuma ya keyboard? Huyo mzee amefanya makubwa nchi hii we utazikwa km panya. Km kuumwa ht we utaumwa, mbwa koko wewe
Mnataka akishuka jukwaniaingiwe kwenye jeneza?Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea
Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika
Mara mgongo,mara miguu,mara kifua
Uzeeuna changamoto zake
Dini anayo wa Jumamosi huyu,ingawa mjinga!Mnataka akishuka jukwaniaingiwe kwenye jeneza?
lini atakaa na wajukuu zake awafundishe utu, kusema ukweli, kuwa na hesham dhidi ya wenye mtazamo tofauti, kutoa funghu la kumi, kuhehimu dini zingine hata kama yeye hana dini?
ha h aha haaDini anayo wa Jumamosi huyu,ingawa mjinga!
Bora wangemchagua CDMsuyaKwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea
Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika
Mara mgongo,mara miguu,mara kifua
Uzeeuna changamoto zake
Yupo kwa waganga ana chaji mkuu akitoka huko utaona moto wake, CCM bila ushirikina ni sawa na gari bila mafutaKwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea
Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika
Mara mgongo,mara miguu,mara kifua
Uzeeuna changamoto zake
Na hapo amefoji umri, ana miaka zaidi ya 90UROHO umemponza .
Kwa age yake ya 80 ni ngumu kuweza hizi harakati za mikutano
Hata screpa linaitwa chuma
π€π€π€Na hapo amefoji umri, ana miaka zaidi ya 90
Ni aibu tupuπ€π€π€
Wasira anaaminika katika nini ?usimwone mtu kafikia umri ule na bado anaaminika ukachukulia simple,
Yan hata TAL akifikia umri ule na bado anaaminika bas atakuwa na bidii Sana. .. si unaona mbowe alivo loose popularity gafla gafla ?
Bado hujaona mvurugano, subiri bunge livunjweππCCM imekata pumzi imeanza kuvuruga tu kwani haina wanasiasa wote wameisha.
Makubwa gani? Alijenga jengo la Bunge au Ikulu?. Ana nini cha ajabu kumzidi JAJI WARIOBA?, huyu mzee ni mpuuzi kwa umri wake alipaswa kuwa mshauri mzuri kwa manufaa ya Taifa na sio juso lake aloo!!.Mzee wa kwako yuko wapi, si mpumbavu km we msukule uliyejificha nyuma ya keyboard? Huyo mzee amefanya makubwa nchi hii we utazikwa km panya. Km kuumwa ht we utaumwa, mbwa koko wewe
Wasira anaaminika katika nini ?
Kukosa maono umri wa miaka 80 unalazimisha mambo na kukubali teuzi na mwisho unafia majukwaani .
Angekuwa baba yako ungetafsiri vipi
Anaandaliwa Mzee Jangala kuja kuziba nafasiCCM inawazee wengi.
Tupeni wiki mbili au tatu tuwaletee chuma kingine πππππ
Huyo anaandaliwa kutolewa kafara ili kupunguza fukuto la ndani ya CCM maana hakuko shwari kabisa.Mnataka akishuka jukwaniaingiwe kwenye jeneza?
lini atakaa na wajukuu zake awafundishe utu, kusema ukweli, kuwa na hesham dhidi ya wenye mtazamo tofauti, kutoa funghu la kumi, kuhehimu dini zingine hata kama yeye hana dini?