Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Atakuwa mmoja wa wale waliotaka Kwenda Ulaya bila ticket!ha h aha haa
wale jamaa hawanaga hizi mbanga za kudanganyanmpaka uzeeni, wakifika miaka 60 unakuta wanaimba tenzi na kusali sana, huyu jamaa labda ni "masalia"
Safi kabisa,tutafika mbali,unaacha huku unakumbukwa!Ni maisha yake mkuu.
Maybe hajatosheka na mpunga,
au tuseme sifa
au tuseme mchango kwa jamii ...
Mfano Mimi nipo na umri Mdogo Sana Ila tiar nishaanza kujipumzisha... On my 30s and staki kukimbizana ...
So ni maisha yake mze.
Butiku au Warioba wanatosha.Tunachagua mzee mwingine
Mpelampela wa no reform no election siyo mchezoWampumzishe babu wa watu
Ahahahaaa yule hana mvuto wowote, single zake zote hazijauzika anajaribu kutafuta msaa wa tungo zingineYule mwingine mwenyesifa za kuchoma masoko na kupakazia Chadema kuleta virusi nae kimya au yupo Songea kupuliza sumu kwenye Ofisi za Chadema?
Butiku au Warioba wanatosha.
Huyo kachoka kama li RIAZ la mchina la enzi za Nyerere, itakuwa lile walilolikuta limefia mbugani Serengeti.Bado hujaona mvurugano, subiri bunge livunjwe😂😂
Hawa hawawezi kuungana na kundi la vilaza linalodhani kutumia nguvu ndio kiongozi bora.Mtoe butiku kwenye unafiki hapo
Mzee Wa Zuzu AsaliAtakuja yule wa "Wapigwe Tu"
Manaaake Kwanza Ncheke..Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea
Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika
Mara mgongo,mara miguu,mara kifua
Uzeeuna changamoto zake
Nasikia yuko Mzena,akiingia mtu kule huwa hatoki wanajua kuuwa tu siyo kuponyaAcha upumbavu, we unajua aliko sahivi? Mbn mmejaa uchuro? Kamchurie babako we bwege
Wewe ndiyo nimekuelewa sasa hapo ulipoweka ushahidi wa kukosekana kwake kwenye msiba wa MSUYA🤔?? Huenda kweli kunashida. Tumuombee afya njema huko aliko, asingekosa kwenye msiba ule mzigo.
Hawawataki vijana ambao bado wana ndoto nyingiWanawapoza wenye sauti wanajua hawana muda mrefu lakini wasipowapoza kwa vyeo itaonekana wameteka chama.
Usishangae akateuliwa Butiku nafasi ya makamu mwenyekiti baada ya Wasira.
Hahaha be careful for what you are wishing for...akipewa Madelu mtakufa sana.Hawawataki vijana ambao bado wana ndoto nyingi
Hao wote ni wanyama kwenye sura za watuHahaha be careful for what you are wishing for...akipewa Madelu mtakufa sana.
Kumbuka alipikuwa waziri wa Mambo ya ndani alichofanya MKIRU?
Watu wamemsahau Mpina mzee wa rula akiwa waziri wa mifugo na uvuvi, alichoma nyavu za watu sana, alitaifisha mifugo.
Sio kila kijana ni malaika, yapo ma nyang'au.
Labda apeww Fr.Kitima tutasalimika.
Kuna vijana wanaroho mbaya na wabinafsi sana wakiteuliwa wanajuona ni bora kuliko kila binadamu humu nchini na wanaanza kuiba, kudhulumu kutuumiza na kutukomoa.
Mifano mingi, makamba, Nape, Makonda, Sabaya, n.k
Kuna vijana wanaroho mbaya na wabinafsi sana wakiteuliwa wanajuona ni bora kuliko kila binadamu humu nchini na wanaanza kuiba, kudhulumu kutuumiza na kutukomoa.📌🔨Hahaha be careful for what you are wishing for...akipewa Madelu mtakufa sana.
Kumbuka alipikuwa waziri wa Mambo ya ndani alichofanya MKIRU?
Watu wamemsahau Mpina mzee wa rula akiwa waziri wa mifugo na uvuvi, alichoma nyavu za watu sana, alitaifisha mifugo.
Sio kila kijana ni malaika, yapo ma nyang'au.
Labda apeww Fr.Kitima tutasalimika.
Kuna vijana wanaroho mbaya na wabinafsi sana wakiteuliwa wanajuona ni bora kuliko kila binadamu humu nchini na wanaanza kuiba, kudhulumu kutuumiza na kutukomoa.
Mifano mingi, makamba, Nape, Makonda, Sabaya, n.k
UNAJUA KATI YA ULIOWATAJA HAPO KUNA MMOJA SI KWAMBA ATAONGOZA CHAMA BALI NI MAKAMU WA RAISI CETRIS PERIBUSwasira nchimbi makalla, kweli wakiendeshe chama kweli? kwanza wote wana historia ya kushindwa uchaguzi kwahiyo sio watu makini kuweka strategy za ushindi.
ila tunajua nani yuko nyuma ya hawa watu, hizi ni screen kuna mtu ameshika remote
Hivyo kumbuka what you wish for can be worse than Wasira.Hao wote ni wanyama kwenye sura za watu