Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

nisaidieni ndugu zangu, nifanyeje nisiwe ninaziona threads za Lucas Chawa๐Ÿ™ƒ๐Ÿ˜
 
Ndugu yangu, mtu anasema watakaa madarakani mpaka Yesu arudi kana kwamba Bwana Yesu ndo alianzisha CCM. Bwana Yesu na mavyama wapi na wapi? Ngoja tuone kama Bwana Yesu ataamua nini?
MAKUFURU YA HV HV NDIO YALIMWONDOA MAGU. NA HUYU ATATEMBEA 2 SOON
 
๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ
 
 
Mzee mwenyewe hajui kujenga hoja ni mwendo wa majibu ya jeuri tu
Hawakuwa wanataka mjenga hoja.

Walitaka mtu anaejibu jeuri jeuri hivyo.

Na, kingine, sauti moja kubwa sana miaka ya karibuni inayoisumbua CCM na serikali yake ni ya mwana CCM, ambae ni ana historia ya uadui mkubwa wa kisiasa na huyu Wassira. Kwa hiyo wakaona atawasaidia kupambana na huyu mwana CCM
 
Hii ndiyo CCM na sasa wanataka kumrudisha Mze mwingine (Pius Msekwa) achukue nafasi ya Wassira.
 
Mzee yuko zake Apollo anapata dozi ya tezi dume.
Tumuombee apone haraka arudi katika majukumu yake..Nimsihi aachane na siasa apumzike alee wajukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ