Pre GE2025 Tulishaandika humu kwamba Tulia Ackson hana ushawishi Mbeya bila Wasanii, Ona sasa anaponza Watoto wa watu wanapigwa Mawe

Pre GE2025 Tulishaandika humu kwamba Tulia Ackson hana ushawishi Mbeya bila Wasanii, Ona sasa anaponza Watoto wa watu wanapigwa Mawe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.

Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.

Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?

Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
Vipi siku vijana ishirini wakija kufanya Fujo kwenye mkutano wa sugu atakuja na thread Kwamba sugu hakubariki au utawalaumu CCM?
 
Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.

Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.

Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?

Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
Sugu awe na ushawishi au asiwe na ushawishi Cha muhimu ni kwamba hawezi shinda Mbeya na hatotangazwa na akirudia tena atatandikwa bakora mara 2 ya zile za Awadh.

Mwisho ushauri Kwa Wasanii wanaounga mkono CCM,wasiende Mbeya na kama wakienda basi wasiweke siasa zao maana watu wa huko hawanaga tolerance.

Pengine kina Zuchu ni Watoto hawanijui Mbeya
 
Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.

Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.

Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?

Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
Tulia ni kigagula fulani vile hakijitambui kabisa. Na asingekuwa amesoma elimu ya kisasa huyu Tulia angekuwa ndiyo vile vibibi vinavyoruka kwenye ungo kuwangia watu.
 
hao wanao tupiwa wenzao mawe ni akili za kijima. harafu Tulia atashinda tena ambaye hapendi ajinyonge. wamenikera sana hao wajinga
Tulia huyu huyu ashinde Mbeya?

TULIA hakubaliki kabisa na wapiga kura wa kawaida ukiacha wapambe wake wachache huko Iduda, Itezi, Igawilo Uyole ambako ndiko wajinga wamejaa.

Kama utashindanisha hawa wachovu 2 kati ya Sugu na Tulia nakuhakikishia Sugu ataibuka kidedea
 
Ni akili za Machadema yaani wameamua kuvuruga show za watu
Labda aliwaletea dharau wana mbeya,hawa wasanii hawakawiagi kuwaonesha watu jukwaanj middle finger 😄
Mapozi mengi jukwanii kujiona wao special sana
Alafu anakuja mtu anasema huyo zuchu hatokuwa anakuja tena kwenye matamasha huko,who cares kwani watu wa mbeya kipaumbele chao kikubwa ni matamasha

Ova
 
Back
Top Bottom