Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Mbeya ipi anakubalika Tulia?. Mnamkubali nyinyi tu wafanyakazi wake wa Tulia TrustTulia anakubalika Mbeya mjini kuliko inavyofikiriwa, sifa ya soko matola ni uvutaji wa bangi, ikizigatiwa kutokana na kashfa zilizopo venue organiser alipaswa kuliona hili mapema sana, pia isitoshe muziki wa sasa ni wa ushindani, diamond ana watu, harmonise ana watu, organiser alipaswa kuliona hili mapema, kwa vyovyote kwa upepo wa sasa, DIAMOND & ZUCHU WAPUMZIKE KWA WAKATI HUU KWA MUDA,wapishe upepo huu.
-Adios amigo