Pre GE2025 Tulishaandika humu kwamba Tulia Ackson hana ushawishi Mbeya bila Wasanii, Ona sasa anaponza Watoto wa watu wanapigwa Mawe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.

Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.

Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?

Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
mtumishi wa Bwana hapo amekosea sana, nuru na giza havichangamani, hakuna hata siku moja mtoto wa mchungaji akaamini wasanii wanaweza kumnpaisha badala ya kupiga goti kwa Mungu ndiye mnpaishaji.
 
Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.

Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.

Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?

Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
Ndio shida ya gongo, kama wana hasira waitoe ccm sio kupiga mawe watafutaji
 
hao wanao tupiwa wenzao mawe ni akili za kijima. harafu Tulia atashinda tena ambaye hapendi ajinyonge. wamenikera sana hao wajinga
LABDA WEWE NDIYO UKACHAGUE SIDIRIA ...HAKUNA MTU MWENYE AKILI ZAKE TIMAMU ANAWEZA KUTOKA KUPIGIA KURA SIDIRIA IMWONGOZE KUWA KICHWA JUU YAKE NI MPUMBAVU PEKEE ANAYE WEZA KUFANYA HIVYO.
 
hao wanao tupiwa wenzao mawe ni akili za kijima. harafu Tulia atashinda tena ambaye hapendi ajinyonge. wamenikera sana hao wajinga
Nasikia kakufanyia mpango kwenda USA kwa PAFF DADDY 🤣🤣😀😀 unaenda kubong'oa
 
sasa yeye ndio anaiweka ccm madarakani? angaikeni na wafanyaji sio wachekeshaji
Haya sawa, mwambie asirudie tena kuja kupiga siasa za Fisien mbeya .

Angetuimbia tu chapati 😆😆, tungemuelewa, mbwembwe zimemponza !!
 
Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.

Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.

Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?

Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
Kwani audience wao wanasemaje
 
Haya sawa, mwambie asirudie tena kuja kupiga siasa za Fisien mbeya .

Angetuimbia tu chapati 😆😆, tungemuelewa, mbwembwe zimemponza !!
Ccm haiwezi ondoka kwa kumpiga Zuchu, zile ni akili ndogo sana za kukimbia tatizo
 
Sugu awe na ushawishi au asiwe na ushawishi Cha muhimu ni kwamba hawezi shinda Mbeya na hatotangazwa na akirudia tena atatandikwa bakora mara 2 ya zile za Awadh.

Mwisho ushauri Kwa Wasanii wanaounga mkono CCM,wasiende Mbeya na kama wakienda basi wasiweke siasa zao maana watu wa huko hawanaga tolerance.

Pengine kina Zuchu ni Watoto hawanijui Mbeya
Atandikwe bakora sababu kagombea? 😅😂
Lini mraondokana na primitive thinking ? Halaf nyie ndio viongozi? No wonder tunaingia mikataba ya ajabu kws watu kama nyie ambao hamtaki kuendana na mabadiliko ya dunia
 
Back
Top Bottom