shida ni michadema yenye roho mbayaHiyo chuki ipo wazi.Na itatamalaki zaidi wakati wa uchaguzi.Natabiri watu kuuana na kujeruhiana kwa wingi kabisa.
Unaambia wana mbeya inamaa niwapake mafuta πWasanii wawe makini sana kwa Mbeya unawapelekea zuchu!
bora wa hip hop kidogo watakausha.
Mambo yenu ya pididi pelekeni huko hukoshida ni michadema yenye roho mbaya
mtumishi wa Bwana hapo amekosea sana, nuru na giza havichangamani, hakuna hata siku moja mtoto wa mchungaji akaamini wasanii wanaweza kumnpaisha badala ya kupiga goti kwa Mungu ndiye mnpaishaji.Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.
Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.
Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?
Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
Unaambia wana mbeya inamaa niwapake mafuta π
Nkuchomekeee π
Unaawambia wana mbeya nasikiaa genyenmgenyeeee π
Ova
Ndio shida ya gongo, kama wana hasira waitoe ccm sio kupiga mawe watafutajiNa hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.
Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.
Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?
Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
Kenya wanapambana na serikali sio wakina ZuchuMbeya ni kama kenya !!
LABDA WEWE NDIYO UKACHAGUE SIDIRIA ...HAKUNA MTU MWENYE AKILI ZAKE TIMAMU ANAWEZA KUTOKA KUPIGIA KURA SIDIRIA IMWONGOZE KUWA KICHWA JUU YAKE NI MPUMBAVU PEKEE ANAYE WEZA KUFANYA HIVYO.hao wanao tupiwa wenzao mawe ni akili za kijima. harafu Tulia atashinda tena ambaye hapendi ajinyonge. wamenikera sana hao wajinga
Nasikia kakufanyia mpango kwenda USA kwa PAFF DADDY π€£π€£ππ unaenda kubong'oahao wanao tupiwa wenzao mawe ni akili za kijima. harafu Tulia atashinda tena ambaye hapendi ajinyonge. wamenikera sana hao wajinga
Zuchu alisema mitano Tena, hiyo vita ni yanini?Kenya wanapambana na serikali sio wakina Zuchu
sasa yeye ndio anaiweka ccm madarakani? angaikeni na wafanyaji sio wachekeshajiZuchu alisema mitano Tena, hiyo vita ni yanini?
Haya sawa, mwambie asirudie tena kuja kupiga siasa za Fisien mbeya .sasa yeye ndio anaiweka ccm madarakani? angaikeni na wafanyaji sio wachekeshaji
Kwani audience wao wanasemajeNa hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.
Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.
Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?
Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
Ccm haiwezi ondoka kwa kumpiga Zuchu, zile ni akili ndogo sana za kukimbia tatizoHaya sawa, mwambie asirudie tena kuja kupiga siasa za Fisien mbeya .
Angetuimbia tu chapati ππ, tungemuelewa, mbwembwe zimemponza !!
Point kuu ccm haihitajiki mbeya!!Ccm haiwezi ondoka kwa kumpiga Zuchu, zile ni akili ndogo sana za kukimbia tatizo
Atandikwe bakora sababu kagombea? π πSugu awe na ushawishi au asiwe na ushawishi Cha muhimu ni kwamba hawezi shinda Mbeya na hatotangazwa na akirudia tena atatandikwa bakora mara 2 ya zile za Awadh.
Mwisho ushauri Kwa Wasanii wanaounga mkono CCM,wasiende Mbeya na kama wakienda basi wasiweke siasa zao maana watu wa huko hawanaga tolerance.
Pengine kina Zuchu ni Watoto hawanijui Mbeya
itoeni ccm sio kurusha chupa kama vichaa kwa mtoto wa kikePoint kuu ccm haihitajiki mbeya!!
Unajali πitoeni ccm sio kurusha chupa kama vichaa kwa mtoto wa kike
Aaah wewe utakuwa mangiππMkuu umenikumbusha nyumbani "kibobori" π€£π€£
Kwa rushwa, na pesa tutakula na hatumpi kura.hao wanao tupiwa wenzao mawe ni akili za kijima. harafu Tulia atashinda tena ambaye hapendi ajinyonge. wamenikera sana hao wajinga