Mbeya ipi anakubalika Tulia?. Mnamkubali nyinyi tu wafanyakazi wake wa Tulia TrustTulia anakubalika Mbeya mjini kuliko inavyofikiriwa, sifa ya soko matola ni uvutaji wa bangi, ikizigatiwa kutokana na kashfa zilizopo venue organiser alipaswa kuliona hili mapema sana, pia isitoshe muziki wa sasa ni wa ushindani, diamond ana watu, harmonise ana watu, organiser alipaswa kuliona hili mapema, kwa vyovyote kwa upepo wa sasa, DIAMOND & ZUCHU WAPUMZIKE KWA WAKATI HUU KWA MUDA,wapishe upepo huu.
-Adios amigo
Wahuni na wavuta bangi hawakosekani popote pale duniani. Siku ya kura ndio mbivu na mbichi hujitenga.Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.
Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.
Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?
Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
ππππMbeya ipi anakubalika Tulia?. Mnamkubali nyinyi tu wafanyakazi wake wa Tulia Trust
Harafu-halafu, kama kukerwa utakehereka sana, wasanii wenu wa kuhongwa na CCM hawatakiwi.hao wanao tupiwa wenzao mawe ni akili za kijima. harafu Tulia atashinda tena ambaye hapendi ajinyonge. wamenikera sana hao wajinga
Atakuwa Tulia nini?Joined septemba 2024
Apate anayestahili kwani lazima asiye na sifa mradi ni CCM apateJimbo ligawanywe tu kuepusha vurugu zisizo na msingi na kila mtu apate
Aisee Tulia kachafukwa hukuπππ€£π€£we vipi ?
Dr Tulia atashinda mtake msitake na Samia ndoo Rais wenu Mungu akijalia 2025-2030
Ni CCM kwa hiyo ukijihusisha na CCM nawe utanuka tuShida ni Tulia au CCM, kwa hali ya sasa?
Haitotokea kwa Mbeya, watahukumiwa pale pale na wananchi. Msituletee uchawa wenu kwenye shughuli za kijamii, mambo yenu ya P Diddy pelekeni CCMVipi siku vijana ishirini wakija kufanya Fujo kwenye mkutano wa sugu atakuja na thread Kwamba sugu hakubariki au utawalaumu CCM?
atashinda nini?hao wanao tupiwa wenzao mawe ni akili za kijima. harafu Tulia atashinda tena ambaye hapendi ajinyonge. wamenikera sana hao wajinga