Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

Oya kuna Kimasihara nimeiweka muda Huu, nimeila Jana Jana mida ya saa Tano mpaka saa Saba.

na nmejuana nayo Jana hiyohiyo Asubuhi ya saa Nne .

anyway ni masihara ambayo ni matokeo ya Marupurupu ya kazi zetu hizi 🀣
Umetisha mkuu chap kwa haraka.
 
Huku story tu kula ni mtaani huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…