Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Aaahhh kama umemuelewa mtu wee mPM tuuu ,Kwan shingapi bana?... Mimi Huwa naamua kuPM tu haijalishi wanasoma visa vyangu vya masihara, kama atanielewa atanielewa tu...Si wanasema Love is Blind?? Ublind wenyewe ndio huo Sasa.Kumbe humu jf mitongozo kweli inaendelea nilidha i ni mie tuu ninayekataliwa pm π€£π€£π€£π€£
Wee jf kuna pisi kali? Acha masikhara hawa tunaoshinda nao hapa mpaka saa nane usiku pisi kali wai bwana weweπ€£π€£π€£π€£
Yumo humu jf?Aaahhh kama umemuelewa mtu wee mPM tuuu ,Kwan shingapi bana?... Mimi Huwa naamua kuPM tu haijalishi wanasoma visa vyangu vya masihara, kama atanielewa atanielewa tu...Si wanasema Love is Blind?? Ublind wenyewe ndio huo Sasa.
Kuna mtoto huyooo jamaan, siku akinionea huruma akanitunuku ... Nitaacha kuoga Kwa muda wa wiki nzima yaan siku Saba za juma .
Oyaaaa ni kisuuuuu ,unajua kisuu???
Oyaa yupo humuhumu Babu, ni pisiiiii ,hivi unajua Pisii?Yumo humu jf?
Mie hapa jf nametongoza warembo wengi tuu ila ukweli ni kwamba wote wamenipiga chini hamna ata mbususu moja niliyoonja hapa jf. Shida kubwa ni kwamba sina helaOn the other hand , Jf Ina wanaume Malaya wa kutafuna mbususu kisirisiri balaaa .
Yaan vyenyewe kwenye majukwaa ni vipole kichizi, wanachekesha sana madem .
Baadae vinaibukia PM kimya kimyaaa.
Kamtu kama mzabzab , Daby Hawa hata DP zao zinaonyesha ni Mbusus Eaters .......
Ila sisi Akina Carlos the Mbweha , kwakua majukwaan tunaandika andika, basi tunaonekana wahuni , kumbe wahuni halisi wapo wametulia ,wanacheka !!.
Tupo! mimi ni mwanamke ooh sorry mimi ni msichana .
Hivi Hawa wa JF mpaka uwe na Hela au gari?.Mie hapa jf nametongoza warembo wengi tuu ila ukweli ni kwamba wote wamenipiga chini hamna ata mbususu moja niliyoonja hapa jf. Shida kubwa ni kwamba sina hela
Wa jf bila gari na uwezo wa kuwapeleka mlimani city hawakuvulii chupiHivi Hawa wa JF mpaka uwe na Hela au gari?.
Mimi wananikataa kisa Et nakula sana kimasihara
Ila ukweli pia Sina Hela Wala Sina Gariπ€£π€£
Huyo ni pisi ila malaya lakiniOyaa yupo humuhumu Babu, ni pisiiiii ,hivi unajua Pisii?
Mimi nikisifia basi ujue ni pisiii haswaaaa haswaaaaaaaa haswaaaaaa.
Tatizo nikimtaja hapa, itapelekea High influx ya watafuta mbususu π€£.
Simtaji ng'ooo
Hapana ,Wanawake wa humu wengi ni wako matured , sio rahisi kukuta Malaya humu.Huyo ni pisi ila malaya lakini
Sawa mkuu.Hapana ,Wanawake wa humu wengi ni wako matured , sio rahisi kukuta Malaya humu.
Humu ID ni feki, Malaya wanahitaji sehem ambazo ni huru,kujiachia bila hiyana.
Wanawake wa humu nikm kulivyo mtaani, umemuelewa, mtongoze, Kuna kukubaliwa au kukataliwa ...
Yote ni Maisha tu!!
Kuna mtu alisema alikutana na mbovuuu hadi akaweka uzi hapa.Hapana ,Wanawake wa humu wengi ni wako matured , sio rahisi kukuta Malaya humu.
Humu ID ni feki, Malaya wanahitaji sehem ambazo ni huru,kujiachia bila hiyana.
Wanawake wa humu nikm kulivyo mtaani, umemuelewa, mtongoze, Kuna kukubaliwa au kukataliwa ...
Yote ni Maisha tu!!
YaaniKumbe hujui