Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Inashangaza, inasikitisha na inaudhi kuwa pamoja na kushauri, kuonya na kutoa tahadhari kwa nia njema kabisa kuhusu mustakhabali wa taifa hatukusikilizwa...tulipuuzwa!
Najitokeza tena kumshauri Mh. F. A. Mobwe kuwa leo hii na bila kuchelewa achukue maamuzi mazito kuliko yote aliyowahi kuchukua maishani ya kutogombea uenyekiti Chadema.
Atangaze kuachana na wapambe maslahi waliomganda kama kupe aungane na wazalendo wa kweli kwa kuwaunga mkono wapiganaji wa kweli Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche.
Chelewa chelewa utakuta mtoto si wako.