Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
- Thread starter
- #21
Nadhani kuna kitu huelewi hapa...kwa kutambua mchango wake ndani ya Chdenma tunamshauri tu jinsi kulinda legacy yake ndani ya chama hicho.Kuna box la kura shida nn?.
Nendeni huko mkamuadhibu Kwa kura
Hana sababu ya kugombea kwa mara ya sita! Heshima aliyojijengea ndani ya Chadema itakuwa imetiwa doa kama atapoteza, je hata hilo hulioni mdugu yangu?
Kwenye historia itaandikwa pamoja na kungángánia uenyekiti kwa miaka zaidi ya 20 bila ya mafanikio ilibidi aondolewe kwa kura baada ya wanachama kumchoka!
Kinachohitajika hapa ni busara tu!