Mama Abdul amefanikiwa sio tu kuthibiti upinzani lakini hata CCM yote. Mikakati yake kwa upinzani anawapa asali wakikataa jela, kutekwa, kifo. Maria Sarungi, Mzee Kibao, Dr Slaa, Soka, Sativa ni mashuhuda.
Kwa CCM ukifanya kazi vizuri au ukiwa na mawazo tofauti simply unafukuzwa kazi, unapunguzwa cheo, unawekwa pembeni au unaundiwa zengwe mashahidi ni watu kama JerLisry Slaa, Ndugai, Mpina, Lukuvi na wengine wengi.
Lissu anaweza kuwa sauti pekee iliyobaki kudai katiba mpya, tume huru, kupinga ufisadi, kupunguza kasi ya uuzwaji wa rasilimali zote muhimu za nchi hovyohovyo.