Tulishauri, tukatoa tahadhari na tukaonya lakini kama walivosema wahenga, sikio la kufa halisikii dawa!

Tulishauri, tukatoa tahadhari na tukaonya lakini kama walivosema wahenga, sikio la kufa halisikii dawa!

Inashangaza, inasikitisha na inaudhi kuwa pamoja na kushauri, kuonya na kutoa tahadhari kwa nia njema kabisa kuhusu mustakhabali wa taifa hatukusikilizwa...tulipuuzwa!

Najitokeza tena kumshauri Mh. F. A. Mobwe kuwa leo hii na bila kuchelewa achukue maamuzi mazito kuliko yote aliyowahi kuchukua maishani ya kutogombea uenyekiti Chadema.

Atangaze kuachana na wapambe maslahi waliomganda kama kupe aungane na wazalendo wa kweli kwa kuwaunga mkono wapiganaji wa kweli Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche.

Chelewa chelewa utakuta mtoto si wako.
Huyo hashauriki.
Hata ufanyaje.
 
Uchaguzi utafanyika na mmoja kutangazwa Mwenyekiti...

Baada ya hapo Chadema ama itaimarika na kuwa chama chenye nguvu au ndio mwanzo wa kubomoka na kuwa chama dhaifu zaidi...
 
Back
Top Bottom